@karibudaressalaamtz: "Mimi nyumba nilliyojenga kabla sijaoa ni nyumba yangu, sio yamke wangu, hata wewe mali uliyoipata kabla haujaoa ni yakwako" - Rais John Pombe Magufuli, August 2000. . 🎥 @karibudaressalaamtz . #karibudaressalaam #tanzaniasisinyumbani
naipositi ikae kwenye akaunt yangu itanisaidia badae
2026-10-12 19:53:22
0
GADAFI. 232 :
Nakubali sana.
2026-10-12 14:36:54
4
Gilblax :
Hukuti mwanamke amekoment kwenye hii 😂😂
2026-10-12 18:48:27
2
EngTIKO :
Nowdays wanaipaka rangi baba , wanakuchokoza , afu wanaenda makaman wanasema wameiendeleza baba, na mahakama inasema mali ni ya familia , watoto na mama yao ,wewe utoke ukaanze upyaa baba😥, wataendelea kuuwawa sana
2026-10-12 17:49:32
2
Mayachris12 :
Wanawake wanasema hivii chochote cha mume wake ni chake, ebu kwanza hapo tushangae kwa pamoja😳😳!!!
2026-10-12 17:53:52
3
Time to reveal the Truth🙌🏻🙌 :
hii nikae akilini
2026-10-12 15:31:09
3
D Jumah :
MLIOSOM SHERIA MTUELEKEZ SHERIA ZINASEMAJ?? NI HIVO HIVO AMA KUNA UTOFAUT ENDAPO MKITENGANA??? MEANS MNAGAWANA WOTE?? ASANTEN
2026-10-12 19:49:07
0
son :
sasa mzee watoto wako uku wanabadilish hati bila ata kusema tukiwabonda tunafungwa
2026-10-12 18:51:24
0
Abuu🍁 :
Bookmark 200😂
2026-10-12 19:10:27
0
💥Agustino💥 :
👍👍👍👍
2026-10-12 17:32:51
1
user24024190945116 :
✅✅✅✅✅
2026-10-12 17:48:52
1
To see more videos from user @karibudaressalaamtz, please go to the Tikwm
homepage.