Allah Akbar hata Mimi nilikua nakisa kamahicho ilachangu ilikua nimepoteza TU nilikaa mahali kuondka nikasahau simu kurudia hapo haiko basi nikaripoti kituo chapolise mwezangu akanambie sema umeibiwa Mimi nikaona hapana nafsi ikanibana kidogo nikasema nimepoteza basi nikaenda kwaustadh flani akatuandikia dhikri majina ya Allah na idadizake basi haikupita sikutatu kunajamaa akanitafuta tukapatana msikitini baada ya athuhuri akanambia umepoteza simu nikamwambia ndio akanambia ikonanini nanini ndani nikamwambia id card na card yasimu akaniuliza hainapesa ndani nikamwambia hamna basi nikonayo mkewangu ndiye ameiokota akahofia pengine itasemekana ilikua napesa namimi nilikua safarini muangalilie macho yake uchukue basi nikaenda police nisema simu nimepata nikashkuru
2026-10-12 12:29:57
17
mamyu :
tumswalie mtume
2026-10-12 17:52:48
9
berrysandale :
Maashallah kisa kizuri chenye mafunzo
2026-10-14 22:25:39
3
Ali :
Sura hio inamaajabu makubwa mno bali kipande tu cha Aya kina elimu na maarifa yasiyohesabika
2026-10-13 18:05:50
8
user1780712973153 :
umehama Malela???
2026-10-14 15:21:54
2
BABA UMMY :
hii sura WATTARIQ INA HABARI KUBWA
2026-10-13 21:47:49
8
taqwaa :
Jazaaqallahu kheyr,nafurahia uwepo wako
2026-10-15 05:48:02
1
Ujue Saidi :
hata mm nakumbuka
2026-10-14 18:16:12
2
Qailula@mobile :
kbs kk
2026-10-13 10:20:05
2
Mwanaidi Mada :
mashallah
2026-10-13 11:00:05
2
Marion Sidi :
ALLAHU AKBAR
2026-10-15 11:48:54
1
Raj @hmed :
umenipa elimu kubwa sana
2026-10-15 14:26:17
1
Mariam Mussa :
mashaallah
2026-10-13 15:35:33
2
Nana aka sweet :
Allah Akbar Allah Akbar Allah Akbar Allah Akbar Allah Akbar Allah Akbar Allah Akbar Allah Akbar Allah Akbar Allah
2026-10-15 10:59:56
1
lazia :
mashaallah
2026-10-13 13:32:25
2
Qailula@mobile :
Allahu akbar
2026-10-13 10:19:11
4
Sha Shagdyjshjsvywvhksysvzfhsf :
mashaallah
2026-10-13 15:46:45
2
tatupetro :
Allah akbar
2026-10-15 09:36:34
1
officialbos :
ALLAH AKBAR
2026-10-15 11:14:43
1
Nana aka sweet :
Subuhanallah
2026-10-15 10:59:42
1
Sherry Bako :
TAQBIRRR....ALLAHU AKBAR
2026-10-15 17:41:28
1
Birusi49 :
takbrii Allah akbar jamani
2026-10-15 11:00:57
1
To see more videos from user @baruanramadhan, please go to the Tikwm
homepage.