ya rabby kama umemchukua sisi hatukupingi kwa sababu kazi yako haina makosa na tunakuomba basi ya Allah mpe pepo yako na kama bado yupo hai ya Allah basi muongeze umri wenye kheri na Afya ili azidi kutusimamia waislamu ya Rabby sikupangi nakuomba
2026-10-12 15:12:12
24
mama wa mabinti watatu asali :
Allah ampe umri mrefu mpaka vitukuu wangu waje wamuone inshaallah🤲🤲
2026-10-13 11:37:06
8
Regina Iddy :
poleni
2026-10-12 15:51:49
0
queen rash :
jaman ni kwel au mbn kama unatutisha hajafa bwana 🥺🥺
2026-10-12 14:50:16
11
Ukht faah🌹 :
Wallah nmeshituka sana Allah azid kumhifadh sheikh wetu Allahuma amiin 🤲
2026-10-13 12:54:57
3
Ashrat🍂❤️ :
Kwann watu wanao zusha maswala haya hawachukuliwi hatua ??
2026-10-13 19:12:17
0
Pin up gel :
Nyiye ukwel au
2026-10-12 15:45:23
3
Miss🦋❤ :
subiri niende kwenye live yake mda uu alafu nitakuja cucomet🥲
2026-10-12 15:51:29
4
Azza :
mmmhhh
2026-10-12 15:54:04
0
user4088584283411 :
Inna lillahi wa inna illaihi raajiun
2026-10-12 14:32:38
10
Abuu Zahra :
hii kaswida inaitwaje
2026-10-13 07:33:57
1
sama :
Mungu akupe maixha marefu
2026-10-12 19:30:08
3
sophy cute :
hajafa uongo huu
2026-10-12 15:16:03
7
mamy :
so kwel bana
2026-10-12 15:59:06
3
@singidasevenifamili :
Bakwata Tanzania imetamka rasimi😂😂😂
2026-10-12 15:44:16
8
NICHORAUS REBEKA MARIAM🙏🙏🙏 :
ndugu zanguni kuweni makini na taarifa wengine tuna pressure tunawapenda sana viongozi wetu Allah awajalie mwisho mwema na sisi sote
2026-10-12 19:31:16
3
unstoppable..783 :
uongo
2026-10-12 14:42:12
3
farhiy@2024 :
Allah ampe afya njema na maisha mrefu sheikh wetu
2026-10-12 21:15:44
2
CAMANDA MITUMBA :
hii ni yakweli au tunapeana huzuni tu
2026-10-12 15:08:20
0
nasraj436 :
inalillah wainna illaih rajiuuni Allah ampe kauli thabiti amjazie nuru katika kaburi lake amiin inshaallah 🤲🤲🤲🤲🤲
2026-10-12 20:27:44
2
البطاشي :
na huwenda ikakurudia ikiwa umependekezwa na hili
2026-10-12 16:32:28
4
To see more videos from user @user1859680616109, please go to the Tikwm
homepage.