@shigaka_luxury: Mungu kwanza 🙏🙏 kabla ya safari kuanza. Book Ticket Online. www.shigaka.co.tz Shigaka Luxury We Say "YOUR DESTINATION OUR INSPIRATION " #GeitaNiShigaka #KahamaNiShigaka #ShigakaLuxury #YourDestinationOurInspiration #PrideOfKahama
Ooh I receive in mighty name of Jesus [Teary eyed][Teary eyed][Teary eyed]
2026-10-13 11:40:00
0
MAURICE FREDRICK :
mungu akubariki na abariki safari Yako
2026-10-12 15:48:16
116
Steve Masawe :
Hili ndo gali linanifaaa kusafili nalo mimi limezingirwa na upako
2026-10-13 05:14:52
69
Memento Mori :
Duh I am impressed. hongera sana
2026-10-13 04:59:41
1
kevoo# :
huyu naomba niachien nioe jamn🥰
2026-10-12 16:59:47
23
Daudi N kimario :
nimependa that believe God🙏🥰
2026-10-13 10:05:56
0
G Twins🫶🏽 :
Boss tafadhal muongezee mshahara kidg.. hii ni neeema tosha😌
2026-10-12 16:38:15
43
Editha Jacob :
niliwahi panda hili basi jmn wanahuduma nzuri mno na wanajari wateja wao
2026-10-13 05:05:18
25
miriestore🍎 :
my fav bus❤️
2026-10-12 20:36:56
1
dalali :
niseme Nini glory glory glory 🙏
2026-10-13 09:48:49
2
Nabii Alimas :
Kazi na Maombi, Dua na Sala. Mungu anasikia hitaji letu. Shigaka Mungu wa Mbinguni awalinde safarini 🙏🙏
2026-10-13 04:48:51
10
Abdulkarim🏴☠️🚘 :
tunaanza na Mungu tunamaliza Mungu🙏🙏🙏
2026-10-13 05:04:48
1
mami :
barikiwa sana dada Roho Mtakatifu awe nanyi ktk safari zenu zote Amen
2026-10-12 18:54:41
8
baby :
mkiwa na imani hiyo basi vanilla magazine yampendezayo Mungu, ili mkawe mashaidi wake na bado mtaonekana waziuri na warembo mbele ya macho ya watu. nimepebda ulivyo bubujika rohoni
2026-10-12 15:04:58
9
dorah swalo :
leteni na mbeya jamani nimependa sana naimani hata dereva anamungu ndani yake kuna magari ukipanda na presha inapanda madereva wamechizika
2026-10-13 07:57:59
1
samwel :
hongera kwakumukumhuka mungu
2026-10-12 20:12:55
1
LUCIA TEMBO :
mungu akulinde kipenzi
2026-10-12 22:30:33
1
it's roy :
Amen mtu wa Mungu
2026-10-12 19:38:45
1
isayafrank8 :
blessed
2026-10-12 18:42:46
1
Lightness :
🙏🙏🙏 Amen
2026-10-12 18:17:28
1
@Love45 :
anza na mungu Mariza na mungu
2026-10-12 21:20:25
1
MENEJA $ :
mungu kwanza kk
2026-10-12 20:37:34
1
Daniel Joseph :
waooh safi sana
2026-10-12 19:48:19
1
To see more videos from user @shigaka_luxury, please go to the Tikwm
homepage.