Gikomba iliuziwa nani mkuu, I hope ulipona from that heartbreak
2026-10-12 16:37:39
1
Githinji :
That maths is not adding up.Take note and do the recalculation.
2026-10-12 18:05:09
0
Amos :
What percentage of those will be fake?
2026-10-12 15:06:32
0
Gshao :
siku hizi huandangi gikomba
2026-10-12 15:01:08
2
i.am.kani :
Plot ya kuiba kura
2026-10-12 13:14:27
1
JOHN MWANGI IRUNGU :
@JOHN MWANGI IRUNGU:Nyiyi wacheni kutetea Ndidi nyoro, Ndidi nyoro ni ruto mole na matiangi ni uhuru kenyyata project. Mimi ni naamini uhuru kenyyata na William ruto wako pamoja kisiasa kwa siri sana wakitumia Fred matiangi na Ndidi nyoro, Hili kusiwe na one presidential candidate upande wa upizani.. Ndidi nyoro mission yake ni kuakikisha anajaribu kumaliza influence ya kiogosi wetu Geoffrey rigathi Gachagua our king pin. Ndidi nyoro alitumwa na ruto after olkarao election results na ushindi mkubwa wa DCP party. Hii vita yote ni ya uhuru kenyyata na William ruto kwa kiogosi wetu Geoffrey rigathi Gachagua our king. Hili riggy G wakiamua ni Kalonzo na sifuna for president. Ndidi nyoro na affordable broggers wataanza kusema kwa opposition hakuna mtu wa mlima Kama rais au deputy president. Hili Ndidi nyoro wachikane na matiangi kama running mate wake, na kugawa kura ya mlima, na kufanya ruto two turm president. Mukiona ruto akitukana uhuru kenyyata hiyo ni siasa.,, lakini wako pamoja kuakikisha kiogosi wetu Geoffrey rigathi Gachagua our king pin asipate nafasi tena ya Kisiasa katika serikali hijao. Sabubu wanajua kiogosi pekee anauweso wa kurudisha Mali ya umma na mashamba ya wakenya imeibiwa na William ruto na uhuru kenyyata ni riggy G peke yake. Wengine wote wamekuwa compromise kisiasa na kifedha na uhuru kenyyata pamoja na William ruto.
2026-10-12 21:18:07
0
user853482594210 :
kumbuka hizo haziko central
2026-10-12 21:48:49
0
ben19 :
ka gikomba hiliuswa pia hii polling centre watausa tu
2026-10-12 17:10:52
0
OLIVER :
lazima tulindie William ✌️
2026-10-12 15:23:01
0
@lyonheart :
kabisa mkuu,,,tutajipanga kabisa vile tulilinda gikomba.ka si wewe kutuchanua hatungejua inauzwa..
2026-10-12 17:13:20
0
Githinji :
Your calculations must be wrong.Do it properly
2026-10-12 18:12:53
0
Baraka jonnes :
hizo ni za Uganda na tz
2026-10-12 18:26:46
0
kipkirui vinnea ❤️ :
bro Nani alograb gigomba man
2026-10-12 17:37:52
0
Edu :
rigging schemes in the offing
2026-10-12 18:15:57
0
kipsjeths 254 :
sasaaa the 1m votes mlikuwa mnasema mko.kadi mli expect waingie polling station ghani[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved] na mko waoga aje kwani...voting starts and ends in polling station...results at polling station are final...period...
2026-10-12 15:58:50
0
RISING KING 👑👑 COLLECTIONS :
✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️
2026-10-12 13:45:35
0
The Xpals :
For rigging elections of course
2026-10-12 16:22:45
0
To see more videos from user @ruirump2027, please go to the Tikwm
homepage.