@officialvillatz: 💔 UNAPASWA KUJIPA NAFASI YA KUPONA. ❤️‍🩹 Ikiwa unapitia kuachana na mpenzi, usaliti, maumivu ya moyo, majeraha ya utotoni, kulea mtoto peke yako au changamoto nyingine za maisha, kumbuka kuwa hupaswi kupambana na kila kitu peke yako. 🫂❤️ Wakati mwingine tunahitaji mwongozo sahihi ili kuelewa maumivu yetu, kujikubali, kujenga upya kujiamini na kupata nguvu ya kuanza ukurasa mpya wa maisha. 📖 Ndiyo maana nimekuandalia kitabu changu “UPONYAJI WA MOYO ULIOVUNJIKA” — kitakachokusaidia kujitafakari, kujielewa na kujifunza hatua za kuanza safari yako ya uponyaji baada ya maumivu

Official villa
Official villa
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 12 October 2026 12:30:49 GMT
83647
4786
125
591

Music

Download

Comments

afroroses.haircare
Afroroses haircare :
katika haya maisha hakuna coach wa mahusiano katika jambo ambalo halieleweki ni mapenzi so kila mtu ale usawa wa kamba yake
2026-10-13 08:17:44
23
mipango92
mipango :
HUYU JAMAA ANAITWA NANI?
2026-10-12 16:22:06
11
nollymike
Nolly Michael 🫧🍂 :
Mwenyewe nimetafta mtu mwenye outcome yani mapenz ni extra tu,
2026-10-13 07:29:54
16
annus.blast
Annu blast :
Kila mtu anasababu zake wengine wanaoana kwa upendo wengine kwa sababu unaakili ya maisha mwingine anakuoa kwasabab unatabia njema wengine kwasabab anakuona unaweza kuvumilia ujinga wake Yaani huku kwa mapenzi na ndoa kila mtu Ana lengo lake unaweza ukawa na visions na wasikutake
2026-10-13 07:54:13
9
awali0335
Ester/Lucia :
Ata mwakasege alisema usioe na kuolewa sababu ya mapenzi tuu mapenzi huwa yanisha ila kusudi litawafanya mkae pamoja sababu ya kusudi
2026-10-13 08:36:01
7
denismganda7
🌍DMG🐦‍🔥 :
Yes Huyu jamaa yuko sawa sana Dada angu
2026-10-12 16:12:32
9
pstenockshayo
Pastor Peter :
kweli sasa vijana ukiwaambia wana kuambia mi nisha penda una mwangalia na unaona mwisho wake siku akija kusema kuna shida una mtizama na hasira na ulisha mwambia tangu mwanzo watoto kuweni makini oeni au olewa na atake kufikisha kwene destiny yako sio muonekano haya endeleeeni
2026-10-13 13:14:00
6
doctorlovetanzania
DOCTOR LOVE TANZANIA :
very powerful point
2026-10-12 13:04:50
4
rebbscollection
Rebb's collection 🛍️👌❤️‍🔥 :
baba amenena ñimepata kitu🙏❤️
2026-10-12 12:37:06
9
sister.p__
HADIJA :
mpaka kinena kimenicheza
2026-10-13 08:20:19
3
binti_ya_kristo
binti_ya_kristo :
Shida watu wengi hawazijuiahata izo hatima zao😏
2026-10-13 15:36:51
3
victorbayo657
victor william :
mimi naoa ambae naona atanisuport kwenye miradi yangu
2026-10-15 15:06:58
1
clever.crababy
Omeche💠 :
💪🏽💸Umenena mkuu,(100%
2026-10-13 10:32:09
2
godwincarsen
Godwin carters :
ABSOLUTELY
2026-10-14 07:46:02
1
jovitha.rwabizi
Jovitha Rwabizi🌹❤️ :
kweli kabisa
2026-10-13 09:45:09
1
tizzo31
TIZZO✔️ :
kila hatua yako mshirikishe mwenye dunia yake mungu dereva ya maisha yako 🙏 🙏
2026-10-13 08:14:38
1
momo.francis8
momo Francis :
point kaongea
2026-10-13 09:40:49
2
user9836371385458
user9836371385458 :
jamaa anajua sana ndivo ilivo
2026-10-14 03:27:23
1
monzomo
MOfat :
waaa
2026-10-13 16:50:29
1
davidmussa449gmail
(Kng d) MFALME wa WAYAHUD og :
awo wana wake wakukusaidia wako wapi sana akijua Marengo yako ata pambana kukurudisha nyuma yani anacho waza yeye ana jua ukitoboa uta muacha anaona nibora akukandamize ubaki palepale ili uwe nae
2026-10-13 08:06:41
1
gsmaili
gsmaili :
Kwani kwanini watu wanaowa unahisi nikwajili yamafanikio iyo me nakataa
2026-10-13 07:23:05
3
burchard_pro
Victor Burchard :
jamaa ana akili kubwa
2026-10-19 06:12:44
1
final.say3
Final Say :
Inaonekana unajitambus sana na ndomana umemuelewa huyu jamaa big up sana🙏🙏🙏
2026-10-13 16:09:27
1
user4829559122530
franco :
serious bro
2026-10-14 19:07:17
1
user2858606097772
Church boy :
Ninachojua Mimi Kila mwanaume akiamua kuoa ana OA Kwa sababu zake binafsi,,hatuwezi kuwa na sababu zilizo sawa.usijumuishe sababu zako Kwa wote Bro
2026-10-13 17:10:35
2
To see more videos from user @officialvillatz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About