hiyo gari imepata ajali jana niliwapita jana wanahangaika kumtoa dereva ilikuwa saa nne asubuhi
2026-10-12 17:35:17
17
dalali kalikomba :
kapona kwel apo jaman duu
2026-10-12 17:13:13
7
chambala :
WATU PUNGUZE MANENO YA UMAKINI KWA MADEREVA COZ HAKUNA DEREVA ANAETOKA KWAKE AKAFE AU AKAUWE, YUPO MAKINI SANA NDIYO MAANA KATOKA CONGO ZAMBIA HUKO HADI HAPO PWANI ACHENI HAYO MANENO... AJALI HIYO KAMA AJALI NYENGINE
2026-10-13 11:55:06
4
mwana :
Huyu ni ndugu yetu yupo hospital jana alikuwa tumbi mungu amfanyie wepesi atapona yeye ndio aonae tusivyo viona naamini penye ugumu ataona na kuleta wepesi wake amiin
Dua kwa wote wanaompenda shamimu
2026-10-13 10:30:20
7
Sharipha Mauridi :
so shamimu
2026-10-12 17:55:13
3
Ag Traveller🎧 :
Hoho sio gari ya kuendesha wazee mi nawaambia tu sio kwa ubayaa 😭😭😭😭😭
2026-10-12 18:18:58
5
gwau don :
namba ya simu ipo hapo kwann msipige simu kwa wahusika/kampuni???
2026-10-13 06:40:39
4
mudrck :
poleni sana aisee
2026-10-12 18:31:44
0
###cheupe👽👽👽 :
polen jmn mung amsaidie abaki salama🙏🙏
2026-10-13 15:00:07
1
Ramadhan hd :
lini iyo
2026-10-12 18:32:44
0
SHANIFA :
jaman ajali nyingi xanaaaa eheee mungu 🙏🙏🙏🙏
2026-10-13 03:48:52
3
Mariasilas :
kwa maombezi ya mama bikra maria atapona akisindikizwa na malaika mkuuu mikael
2026-10-12 20:26:45
7
Lizy adam :
Bola kapona 🙏🙏🙏
2026-10-12 19:32:09
3
Rukia kimaro :
yaan wee acha kabisa.juz nimepita hapo nimeikuta yaan kiukweli mungu atuongoze huku njian tunakutana na mengi sana
2026-10-12 17:39:27
6
Niko Musa :
kaka naomba kazi ya tanboy
2026-10-12 22:36:29
1
tiles fix99 :
daaah kweli changamoto tatzo magari mengi mabovu pia barabara ndo tatzo kabsa mwenyezi mungu amfanyie wepesi
2026-10-12 18:41:46
1
~🌬️suuh🌸~🌬️ :
vip jomn dada et yupo hai au 🥺
2026-10-12 18:32:03
0
Ashiruna 002 :
yarabi naomba mponye mpambanaji mwenzetu 🙏
2026-10-12 19:40:09
2
Ag Traveller🎧 :
we gari imasasambua pori hivyo alikuwa speed ngapi? jamani kama unaendesha gari za kichina hasa Howo Zuchu usizidi speed 60kph hazina balance kama mnabisha nyie bisheni hoho xinamakosa makubwa
2026-10-13 08:09:59
1
Afsa Usafirishaji Kibamba✌️ :
duuuuh
2026-10-12 18:12:50
1
To see more videos from user @dizo.kama.dizo8, please go to the Tikwm
homepage.