@mwalimu_ally: ##foryou #fyp #trending #viral #kenyantiktok🇰🇪 malaika wa mungu atumwa kwanjia ya omba omba.. An angel of God is sent to this woman as a beggar.
Waebrania 13:
(Hebrews)
2. Msisahau kuwafadhili wageni; maana kwa njia hii wengine wamewakaribisha malaika pasipo kujua.
---------------
Do not forget to entertain strangers, for by so doing some have unwittingly entertained angels.
2026-10-12 13:44:20
4
mamu kiface🥰🥰 :
kwahy camera man alikua wap
2026-10-12 15:19:56
0
Euricee Baby :
tuamin mung yup
2026-10-12 13:32:23
3
KISAHANI MSUKUMA %100 :
shida inakuja nani alikuwa anarecod hiyo siamin
2026-10-12 13:29:58
1
Huskhan Bhai :
sio kweli
video kachukuw nani?
2026-10-12 15:26:15
1
brinah♥️ :
siku zote mtu akija kwako kuomb cha kula mpeee hizo huwa ni baraka kubwa za mungu
2026-10-12 15:10:12
3
KIGUMI🦅 :
Mwanz nliamin lkn bdae nikaj kuon km c kwel baada ya kuwaon kwenye movie nynge
nikweli nyie mi iloshnitokea Kuna kanisani nilibeba mia Tano tu nikawa nasali ila nilitoa sadaka miambili nyingne nikabakinayo ila nivomaliza kusali nikawa naludi nakuja mlango wa kanisa nikakitana na bibi ila mbele yagu nilivoangalia mala ya kwanza sikumuona ghafla TU namuonayupo mbele yangu yule bibi akasema mjukuu wangu naomba miambili nimzee sana haoni vizuri mi nilibaki na miatatu bila kufikilia nikachukua mia tatu yote iliobaki nikampa na nikaludi kazini kufika kazini nilipata wateja sana nikaingiza 90 wakati sijawhi kuingiza kiasi hicho na nilikuwa nashida na laki Moja niliomba maombi yangu siku hiyo kwahyo tuamini mungu yupo anakuja kwa ataili mbalimbali mwingine anakuja kama kichaa mwenye nguo chagu ,mwngine anakija kama kukukataza kama Kuna jambo unataka kufanya ,mwingine anakujakwa njia ya kuomba kitu
2026-10-12 16:05:29
0
EddyWilfkayombo🥚🐓🇹🇿🇹🇿 :
😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-12 16:02:44
0
mumy naylah 24 :
huu ni mchongo mbo izi video zipo nyi ng tofaut
2026-10-12 15:59:46
0
Sabrina haule :
ukiomba mungunkila kitu unapewa anaangalia utu wako ndipo anakisaidia Kila unachotaka
2026-10-12 16:06:22
0
To see more videos from user @mwalimu_ally, please go to the Tikwm
homepage.