Daah Maisha ni safar inasiri nyingi Sana Allah pekee ndiye Ajuwaye,
huyu Dada Leo amekuwa mtu wa kutowa Nasaha.
Tusimzarau mtu huwezi juwa kesho yake atakuwa vip au atakuwa Nani.
2026-10-12 21:30:59
0
sweet _lorah :
nikimaliza kwaiyo narudi tena jikoni🤣🤣🤣mie nalalaga usingizi mzito🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-12 19:25:08
0
@fetyy155 ,,,,, :
insha'Allah
2026-10-12 19:04:45
0
Chituya Chitu :
🙏 ASANTE KWA KUTUSEMEA🙏
2026-10-12 19:19:26
0
alimmanga6 :
wazo
2026-10-12 18:46:12
0
Zaynabu Zaynabu :
hakikaa
2026-10-12 20:13:19
0
sheyla🌸 :
bibi unapenda mapenzi ww😂😂
2026-10-12 17:43:57
0
chitta boy :
walai zaman walikuwa wanafaid sana
ila Kwa kizazi chetu walai utaipinda mbona
2026-10-12 17:21:14
0
KUCHI VIWANGO OG. :
sio wanawake wazama hizi
2026-10-12 21:14:20
0
Kojo Zito Kojo Zito :
ilikuwa zamani sio sasa utasikia kapakuwe mwenyrwe mimi nipo bize na cm
2026-10-12 20:01:16
0
fatuma abdallah :
kama akifikia kwasebule je nipunguze moto pia
2026-10-12 18:34:40
0
lion heart :
siku zote washauri wa ndoa huwaga ndo wabaya sana
2026-10-12 17:34:16
0
kuta za juu :
mshipa umempinda...
2026-10-12 21:46:58
0
Shabani Hamisi :
sio wanawake wa ss
2026-10-13 02:28:04
0
Mrs magid :
Mtihan😂😂😂😂
2026-10-12 16:42:42
0
To see more videos from user @alfatah.tv, please go to the Tikwm
homepage.