@nijuzenews: Mwandishi Said: 'Muungano kuwa na Serikali moja ni ndoto ya mchana, Wazanzibari wanaitaka nchi yao' Subscribe kwenye YouTube Channel yetu kwa habari motomoto>>> https://www.youtube.com/@NijuzeNews Subscribe kwenye WhatsApp Channel yetu>>> https://whatsapp.com/channel/0029Vb6s4M91NCrctJX2YG2u Tembelea tovuti yetu kwa habari zenye uchambuzi wa kina>>> www.nijuze.com
Watanganyika kuizima Zanzibar ni ndoto wanaoota mchana ameshindwa baba yao Nyerere,hatimae Zanzibar ipo lakini Tanganyika haipo Mungu ibariki Zanzibar
2026-10-12 18:22:55
14
KUNYATA :
Mungu atusaidie wazanzibar ipo siku Dola ya kiislam itasimama hapa inshaallah
2026-10-12 19:09:50
8
sospeterpeter622 :
Tanganyika pia ilikuwa nchi, leo haina kitu
2026-10-12 16:01:15
4
Ally Kasti Adam :
wengi humu ni wafia dini hawataki ukweli ila huyu mzee anaongea ukweli mtupu
2026-10-12 16:41:30
10
Mohd :
Ndio tuna itaka Zanzibari yetu
2026-10-12 19:41:10
6
Matteo_cunha :
Zanzibar yangu 😢
2026-10-12 16:23:34
8
zanzibar ❤️zaman :
zanzibar kwanza
2026-10-13 00:14:07
1
Mrs Patrick bellange :
Tanganyika imekufa imebakia Tanzania zanzibar ipo pale pale
2026-10-12 23:26:58
1
Solomon :
zanzibar ilikua koloni na sio nchi..na Karume ndio mwafrika wa kwanza kuiongoza zanzibar na pemba kwa kipindi cha karibu miaka mia tano
2026-10-12 14:46:01
2
Nana butterfly 🦋 :
Huyu mzee kweli anajuwa
2026-10-12 17:15:35
4
Fadboy :
2026-10-12 16:53:56
4
Royal Fashion :
mi ccm ya Zanzibar cjui hawasikii
2026-10-12 22:38:13
2
raymond87 :
zanzibar haijawahi kuwa nchi....tusipotoshe umma
2026-10-12 14:57:30
0
Sultan 🇹🇿 :
Mahojiano dhaifu, hayana faida yyte
2026-10-12 15:58:21
0
Nassoro Mkwanje :
HUYU MZEE ANA MAWAZO YA KITUMWA KWANI NI NANI ALIIANZISHA TANGANYIKA KAMA SI MKOLONI AU ZANZIBAR KAMA SI MKOLONI WA KIARABU? JE NI WAZEE WETU WA KIAFRIKA WALIANZISHA HZ NCHI KISHA WAKASEMA NI NCHI ZETU? JE KAMA MUINGEREZA ANGEAMUA HILI ENEO LOTE BARA NA VISIWANI KULIITA AZAMIA JE LEO HUO UTANGANYIKA AU UZANZIBAR KUNGEKUWEPO? SISI AFRICA TUNAUTUMWA WA FIKRA NA MAWAZO TAIFA LIKIANZISHWA NA WAZUNGU NDIO TAIFA LAKINI LIKIANZISHWA NA NYERERE KARUME SI TAIFA NI DHAMBI
2026-10-12 20:40:16
0
Moussa Rafii :
nchi zilikua nyingi tuache kelele kilwa ilikua nchi pia na pesa yake ilikuwepo na tukisomeshwa ivyo
2026-10-12 21:01:09
0
Rajab lincoln :
kwl ni ndoto ya kila mznzbr ni kuondoa mngn
2026-10-12 19:48:53
0
Abdul Hafidh :
Inshallaaahh watatowa tu nchi
2026-10-12 16:18:20
4
Marzain~🤗💦 :
Hazina hizi mungu atuwekee na aturithishe mamb yasijekuwa makubwa ☺️
2026-10-12 21:11:01
1
c'est moi 👀 :
kitarudi insha Allah icho kiti
2026-10-12 18:16:20
1
khatibyussuf :
MZEE MUGU KUPE HERI WEWE NI MKWELI
2026-10-12 18:10:35
1
ZNZ 1st :
Asklm wewe mzee unajuwa sana . Sasa leo mwaka wa 65 ZANZIBAR HAIWEZI kucheza kwenye mashinfano ya kimataifa kama CAF NA FIFA halafubleo kiongozi wa nchi ansema tupo hapa kuwasaidia vijana haya vijana gani wazazibari kimya mwisho hao kucheza SOKA kenya uganda na siku hizi rwaNda burundi ehh hiii haki mzee wamgu
2026-10-12 16:17:34
1
To see more videos from user @nijuzenews, please go to the Tikwm
homepage.