@innocent_raphael: Kijana akifarikia, basi tunamsamehe. Mtu anayefariki mkopo hii tunasamehewa mkopo wake lakini hii sio njia sustainable. Nafikiri unanielewa ninapozungumzia sustainable. Kwa sababu tukiacha kama ilivyo tunaweza tukajikuta tuna funding gap. Kwa hiyo tuko katika mchakato tushaanza sasa hivi wa kuanza kufikiria kujisi gani ya kuja na bima ambayo bima ile itacapture hizi. #siasa #innocentraphael #innocentraphael #tanzaniatiktok

Innocent_Raphael
Innocent_Raphael
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 12 October 2026 14:18:55 GMT
45883
1396
53
330

Music

Download

Comments

queenvivy_cakesandgifts
Queenvivy_cakes&giftspoint :
Mungu awabariki sana mlininyima mkopo sasa ivi naenjoy😅😅
2026-10-12 16:47:16
40
tee40baby
tee40baby💕🤍 :
Mm nadaiwa tayar nimefariki jmn😅😂
2026-10-12 17:36:56
12
edwardsostel
DOPP" KIDD "🤟🎃🏆 :
safiii mko wapi nije
2026-10-12 14:38:38
7
fizzeboe._
fizzeboe🤾 :
basi kumbe deal ni kufariki😅
2026-10-12 17:57:53
4
user1505596133768
Andrewkilleo🕸 :
nife nkatumie degree yangu peponi ukoh 🙏🙏🙏
2026-10-12 17:46:48
1
jimmybundala208
jimmy log6 :
mnapatikan wap nijee jaman
2026-10-12 14:50:15
4
toles390
Toles🌿 :
Tufariki mara ngap
2026-10-12 15:36:26
7
rahim.haji01
Rahim Haji :
Kwanza ilitakiwa tusomeshwe bure. But still unakopa na umekufa bado sio sustainable, kuna namna huruma inatakiwa iongezeke zaid kwa wasio na uwezo
2026-10-12 17:26:02
3
chiefjr702
JR :
Achaneni na mambo ya bima za mikopo ya wanafunzi....hizo ni fedha za serikal.. wakati nyinyi mnawaza fedha zenu mlizopoteza,mzazi nae anamfikiria mtoto wake aliefariki bila kufaidi matunda ya kijana wake ..
2026-10-12 15:13:19
10
dicksonpeter10
Dickson Peter Marco :
mm nilisoma na liku malaja pale mwanhuzi primary 2008-2014
2026-10-12 17:14:36
0
cri.t.kambugu
Tee 🥰🦋✨ :
hapo sitawalipaaaa kumbe🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-12 17:19:25
1
djblonzo
DjBlonzo@4999 :
NITAKUJA KUCHUKUA MKOPO PESA NAWAACHIA FAMILIA MIMI NAJIUWA FAMILIA YANGU WANABAKI MATAJIRI BILA KUDAIWA NA MTU YEYOTE
2026-10-12 17:15:09
0
machela231
Khalima🖤🤍💞 :
waoh😁
2026-10-12 18:09:29
0
oscarrafael473
OSCAR MIDDO :
mmenikopesha nimesoma na hamniajili dadek silipi
2026-10-12 18:00:04
0
king_warsame7
₩arsame♡ :
jamani nimesha kufa toka mwaka jana ila mbona bado msg nazipokea kupitia NIDA huku kaburini
2026-10-12 17:54:48
0
hamisallyjr1
blacklives :
mzee anatoa code kabisa jamani hii sijafundisha
2026-10-12 17:18:55
0
winterwoods382
Dr Erasto Edwin. MD :
Kumbe mbinu ni nyingi 😂
2026-10-12 17:44:43
0
garavein23
Garavein :
jamani tutumie fursa hii waTz wenzangu
2026-10-12 16:42:42
0
user69309345146671
Winnie Tz🇹🇿 :
Sijui nitumie mkopo alfu nikimalza chuo nijiue🤭😊
2026-10-12 18:12:52
0
bagobago2003
BAGOBAGO😎 :
vipi nikizimia 😂😂
2026-10-12 16:21:25
4
aviation.2003
Aviation 2003 :
aliyefariki kakutwa hai dubai
2026-10-12 17:01:40
1
soph10m2
its_sophy💯 :
saa msipomsamehe atawalipa nan😂😂😂na ndio kashakufa mnaemdai
2026-10-12 17:23:33
0
samking2394
samking :
sema amna voice note ila ningeongea mpk wangesikia nn nachokisem
2026-10-12 17:38:40
0
maya_ferro16
Maya Ferro🔞🇿🇦 :
Ndio kifo jmn
2026-10-12 18:12:16
0
lyncherry6
mama amilen❤️ :
me nihesabieni kama mfu😂 asanteeeeeniii
2026-10-12 16:46:16
0
To see more videos from user @innocent_raphael, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About