@nguvu_ya_madhabahu: Mtume Mwamposa na Mkewe Wampongeza Bishop Mwakibinga na mkewe kwa Kuanza safari ya maisha ya ndoa yao #sibukaradiotz #ariseandshinetanzaniai #news #tanzania #viral

Nguvu ya Madhabahu
Nguvu ya Madhabahu
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 12 October 2026 14:20:53 GMT
130155
6301
239
249

Music

Download

Comments

mackyrenee
Renee✨🧸🤎 :
Mke wa mwamposa mzuri jamani🥰
2026-10-12 14:58:59
140
degamawetexta
Beatrice ❤️ :
baba hacheleweshi kasha tupia tenaaa 😂
2026-10-12 14:59:32
51
mzee.wa.kisiriri
Mzee wa kisiriri :
My best spiritual father
2026-10-12 17:31:43
0
zawaddeus269
Zawad Deus :
duuu kumbe aposto nayeye anafanya
2026-10-12 18:44:50
38
zenajela0
zenajela :
apostle kun muujiz hap
2026-10-12 19:15:57
0
user60302174081636
Dorcas chacha :
Kama navyoshuhudia ndoa hii huu ni mwaka wangu Mungu kuniheshimisha 🥰🥰🥰💍
2026-10-12 15:23:32
41
miss.luwisa
Miss LUWISA :
Baby boy coming soon 👏👏👏🙏hongera mtumishi.
2026-10-12 17:36:16
0
user87386528488100
mariam saleh :
aposto kashafanaya yake tunajua mmefanya nn
2026-10-12 17:10:18
16
irene.kavishe33
Irene Kavishe :
baba amesha tupia tena
2026-10-12 14:54:44
28
erica.039
♌️ ERICA :
Apostle umeme unawakaa very well 😂😂😂😂😂😂
2026-10-12 21:18:32
4
kaijage52
Mariam :
Mi nani nitumie uzazi wa mpango
2026-10-12 17:28:24
11
cruzyad
cruzyad :
my cutest mom ever ...she has a gud voice🥰
2026-10-12 17:09:27
1
lozzyoutfitsstore
lozzy stores 💆‍♀️🪮👗👖👕👔 :
My daddy my mom and my younger sister 🥰❤️
2026-10-12 16:25:14
1
namieli02
Namieli❤️ :
Kiatu cha juu kabisaa wenzio mnawezajee 😳😳 au mimi ndo mshambaaaa sn
2026-10-12 15:07:00
2
ianna8727
Ianna🥰 :
tayar muujiza kwa mkewe
2026-10-13 05:00:50
1
user958008042732
Raphaera :
mwamposa kaokota dodo chini. ya mpela mke mzuri sana mungu awape maisha marefu yenye mafanikio na amani tele
2026-10-12 16:08:11
19
user6256503148762
FROLA MYOVERA :
najiungamanisha na izi baraka
2026-10-12 17:11:07
8
user6301210632214
Martha mrema :
kitu mtume anachoniachaga hoii hajui kumshika mke wake mkono atembee nae yan yy hajui hicho upendo upo nyumban tukiwa njian kila mtu atembee kivyake
2026-10-13 15:32:57
0
mgumyajr4
MamuuJr🇹🇿 :
Mama na babaetu
2026-10-12 15:54:33
4
user986290305488
anipha :
mzuri hana maneno mengi . mtunze mtumishi wetu nawapenda sana 🥰🥰
2026-10-13 10:12:11
1
faiz.zahran34
SOFIA :
umependez san bab
2026-10-12 14:39:14
3
anna.juma477
Anna collection :
ni lini hii jaman
2026-10-12 16:09:35
3
golden.woman522
**Aries♈️ :
mmmh sijuh hata nawaza nn em nikakojoe kwanza narudii😂
2026-10-13 14:51:05
1
ney84087
Merci💋💋 :
Mungu awatunze jamani kuwapenda tu[Red heart][Red heart]
2026-10-12 17:00:51
2
magreth.jurius
magreth jurius :
mke wa mwamposa mzur bana[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-10-12 16:11:57
5
To see more videos from user @nguvu_ya_madhabahu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About