Najihunganisha nahizi Baraka Jion ya leo MUNGU wang tenda miujiza leo kama hii Baba🙏🤲🙌🥲
2026-10-13 01:41:20
45
HUNSTON JULIUS MKONYI 🇹🇿🇺🇸 :
Baba wa mbinguni, Tafadhari Gusa mwili wa mtu anayesoma ujumbe huu kwa uponyaji na amani gusa, hali ya kifedha na uwafungulie milango mipya ya utafutaji kabla ya mwaka 2026 kuisha ukawe mwaka wa mafanikio kila uliombalo likafanikiwe 🙌
2026-10-13 04:52:42
15
MR NYAKASH 🇰🇪🇰🇪🇶🇦🎖️🌷💞 :
this might be the CCTV record trust ur God forever 🤝🙏
2026-10-13 04:18:29
0
boy child 😭💔❤️🩹🇹🇿 :
:may all pregnant women deliver safely
2026-10-13 05:14:42
0
Sometimes :
content bhnaa iyo aliekua anarecod alijuaje kama itakuwa hvyo
2026-10-13 03:50:32
10
lina :
nchi za wenzetu kuna camera kila sehemu
2026-10-13 05:05:15
1
innocent Kessy :
kama ili jambo limetokea kimiujiza huyu aliyekuwa anachukua video alikuwa wapi na alijuaje ?
2026-10-13 03:25:13
5
sephh :
Amen bwana
2026-10-13 04:23:19
1
💗💗💗 :
asante Mungu kwa kunipa uhai mpka xasa
2026-10-12 21:50:53
15
mussagatuso381 :
Asante baba mungu kwa uhai Amina
2026-10-13 03:57:30
2
gwakisa&kec :
waooooooo
2026-10-13 04:00:29
0
Magaz :
@Magaz: Asante mungu kwa kunipa uhai mpaka sasa ivi 🙏🙏
2026-10-13 04:28:16
1
Lisbeth :
nilichogundua huku shoshomedia ukijifunza kitu na ukaona kimeimarisha Iman yako ni bora usiangalie coment baki na ulicho kiamini haijalishi kitasemwa nini.. unaweza jikuta unaikatia tamaa Iman yako
2026-10-13 04:56:52
1
magethaflowersmbeya :
nimesisimka Mungu yupo kweli
2026-10-13 03:46:06
1
MOM G :
Hakika mungu yupo na ameanza kurudi kuwajibu wasio na hatia 😭😭 ipo siku siku na mm utanijibu kwa namn hii baba
2026-10-13 04:44:43
2
Display Gasper :
Naomba aliyeelewa anieleweshe please 🙏🙏
2026-10-13 05:20:50
0
MR_POJO :
Kumbe hii video n kwel nilijua content
2026-10-12 18:55:55
3
Nadia_por.@ :
🙏🙏🙏🙏🙏
2026-10-13 02:00:57
3
Mussa Mathias :
Amina
2026-10-13 00:34:04
1
Dainnes :
amen 🙏
2026-10-12 18:54:50
1
maiko :
amin
2026-10-12 18:38:18
1
Furaha Willy :
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-10-12 19:14:12
1
johnson bullet :
hii muvi inaitwaje nikaitafute kesho
2026-10-13 00:16:43
1
Singapore :
jmn mm Kuna siku omba omba mmja alipita kuniomba hela na alikua anaumwa miguu imevimba ndani nilikua na hela ambayo nilitakiwa nikanunue viatu lakin nilimwambia Sina hela Ile nasema tu Sina hela moyo ukapiga paaa yule kaka akaondoka nikaingia ndani bc nichukue nimpe tu sikumuona na mpk Leo moyo unaniuma nikikumbuka tukio Hilo japo wapo wengi wagojwa wa hivyo wananiombaga
2026-10-13 04:14:10
1
Pilison Kuchungula :
aminaah
2026-10-13 05:30:30
0
To see more videos from user @mamy1659, please go to the Tikwm
homepage.