@salsha_cakes: lazima upate majawabu haina option ya pili #tiktok #fypシ #salsha_cakes #fypシ゚viral #muslim

salsha_cakes
salsha_cakes
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 12 October 2026 14:58:09 GMT
72400
5694
368
1411

Music

Download

Comments

akrammputi
🌺🌺akram🌺🌺♑ :
Allah awalipe kheri wote mnaotufundisha mambo ya kheri inshaalah
2026-10-13 05:52:37
81
sultan_musir
sultan :
basi hii malizia na Alamnashra 21 na Alamtara 21 waaah moto moto moto
2026-10-13 03:39:39
18
nassorshemsa4gmail
❤️FARHEEN BAKHOOR❤️ :
nnaushuhuda na hii lkn sutaki kuirejea ntawamaliza niwapendao🥹
2026-10-13 03:29:04
35
maddy.m680
Maddy M :
1000% I can confirm 👍
2026-10-13 05:57:29
21
user6316139613397
Precious :
Alhamdulillah..nna ushuhuda nlikua na hofu tu kuna jambo laendelea ambalo sio zuri..niliisoma siku 7 mfululizo nia Mungu anifungue macho nione..WALLAH..Nilifaulu.ALHAMDULILLAH 😭
2026-10-13 04:25:56
19
ziiruby1
ziiruhi :
I recite yaseen everyday now I will do the same am tired of suffering... alhamdulillah...thxs it's like I found my answer
2026-10-13 03:26:06
25
aishabdulkarim
Aishaaa :
Nitumie audio dada❤️mashallah
2026-10-13 10:16:01
0
nazreen.majeed
Nazreen Majeed :
I will do this.......shukran🥰
2026-10-13 04:18:15
1
so_ahmed1
so_ahmed1 :
naeza kuisoma kwa niaba ya dadangu?
2026-10-12 19:18:13
7
naoram10
Naoram10 :
hadi raha wenzetu mkiomba mnajibiwa sisi wengine hadi tunahis imani inatutoka[Crying]
2026-10-13 17:03:58
8
nareen598
Nasreen :
Nitasoma week nzima
2026-10-13 04:51:19
6
rashid.mwamzandi
Rashid Mwamzandi :
Manshallah
2026-10-13 05:37:39
0
iman_faraj99
Iman :
nilisoma siku saba sai hata sipigiwi hodi nyumbani kwangu majirani na marafiki wamenisusa walai
2026-10-13 06:46:05
8
mama.rushda.beauty
mama rushda beauty mke up :
iy nikiboko mmi mwenywe nnaushuhuda haswaaa
2026-10-12 15:20:36
5
nimuhamisi
nimu hamisi :
Asante
2026-10-13 10:28:15
0
runna680tiktok.com
Boss Mama♥️ :
inaitwa back to sender🥰🥰
2026-10-13 06:25:52
13
babyeid.jumua
babyeid jumua :
quran ukiwa nayo yakini kila kitu kinaenda vile unanuia
2026-10-13 12:24:53
6
tumayra8
Tumayra children's books 📖 :
Thank you mum
2026-10-12 19:40:01
1
nuuria
Nuurya :
wallah hii suratul Yasin nikiboko mm nilisoma Yasin nahiyo Aya ya ahzab kumkomesha mchawi anaenivurugia ndoa yangu nitengane na mme wangu nilisoma kwa week Moja mfululizo wallah huyo mzee aliadhirika na akawa marehem maana mtaa wote anawangia watu . subhanallah mwenyezi mungu nimkubwa ukimtegemea yy hakuna yeyote atakaekuangusha.
2026-10-13 09:51:43
9
asmahwrites
👑Jane Doeᥫ᭡|Dada🇹🇿Africa📚 :
Unasoma hapa kichwa kinaniuma😭
2026-10-13 08:51:54
5
mam.major
Mam Major :
Iyo niliisoma oyaa wee majibu ni haraka sana muacheni Mungu aitwe Mungu jifungie chumbani usiongee na mtu uisome kwa imani
2026-10-13 06:07:57
5
munny131
munny131 :
Return to the sender 😁😁😁 hehe wataisoma number
2026-10-12 15:38:00
5
hemedabdallah36
hemedabdallah0 :
hii imekaa sawa sana...nilikua nafuga kuku kijana alikua anaota anaburuzwa si mpaka mlangoni nikasema subiri nikae chini nikasoma usiku na nikaongezea nyengine mwisho Yale maji nikachanganya kivumbasi na chumvu ya madonge ohoo hakuona vitisho mpaka leo
2026-10-12 17:05:25
5
xoxo4993
Xoxo🦋 :
Nilikuwa siwezi hata Kutoka nje, mwili mzito miguu Ina uma. Nilipo anza kusoma kila jumamosi. Nika anza Kutoka nje Nika anza kujipenda. Ni kweli kabisa
2026-10-13 06:47:33
8
saira.hariri.chen
Lee :
mimi mkristo naweza saidika
2026-10-13 04:01:18
0
To see more videos from user @salsha_cakes, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About