@afyawarrren: Replying to @missmayacio.tz mama mjamzito huanza kuhisi mtoto akicheza tumboni kati ya wiki ya 16 hadi 25 ya ujauzito (sawa na miezi 4 hadi 5 na nusu) Hata hivyo, muda halisi wa kuanza kuhisi harakati hizi hutofautiana kulingana na uzoefu wa mama: ✍️Ujauzito wa Kwanza: Kama ni mimba yako ya kwanza, unaweza kuanza kumsikia mtoto akicheza natikisa taratibu kati ya wiki ya 18 hadi 22. Wakati mwingine inaweza kuchukua hadi wiki ya 25 kwani wajawazito wengi wa mara ya kwanza huchanganya hisia hizo na gesi ya tumboni ✍️Ujauzito wa Pili au Zaidi: Kwa akina mama ambao wameshawahi kubeba mimba au kujifungua huko nyuma, huanza kuhisi mapema zaidi—kati ya wiki ya 16 hadi 20 (takriban miezi 4). Hii ni kwa sababu tayari wana uzoefu na wanajua vizuri utofauti wa harakati za mtoto na migurumo ya tumbo Kiuhalisia, mtoto huanza kusogea mapema sana (kuanzia wiki ya 7 hadi 8) lakini kwa sababu anakuwa bado ni mdogo sana na viungo vyake ni laini, mama hawezi kuhisi chochote kwa kipindi hicho cha miezi mitatu ya kwanza. Kadiri ujauzito unavyokua na kuelekea miezi 7 na kuendelea (wiki ya 28+), harakati zake zitakuwa na nguvu na utaanza kuhisi mateke, ngumi, au hata akijinyoosha kwa urahisi kabisa the purpose of this video is to educate people
DR.WARRREN
Region: TZ
Monday 12 October 2026 15:07:47 GMT
Music
Download
Comments
Jasy 🍫 :
Mungu wajalie nguvu wanna wote wajawazito 🥰❤️❤️❤️
2026-10-13 14:10:45
338
Rais wa tanga OG :
mungu na mm sasa nishike tena[Heartwarming][Heartwarming]
2026-11-24 16:39:26
0
MAY ME :
sipati picha ayo maumivu yake
2026-10-12 18:04:37
26
Mimah :
nauliz mtoto anacheza ujauzito ukiw na umri gani
2026-10-28 15:04:56
7
JESCA MASSAWE :
mbona mim wiki 26 ila hachezi ivi jamn ni sawa
2026-10-14 08:03:07
8
Kabinti special 🦋💕☘️001 :
Wangu ana miez 7 jaman nikishiba TU ana Fanya Tumbo langu kama wanja wa mazoez
2026-10-12 21:27:01
18
🎀Mom rayy🎀 :
Jaman mbka nipo week ya 39 sijaona akicheza hv au wangu mstaarabu
2026-10-14 10:52:08
9
Mrs cathode :
me wangu nilkiw na njaa anahangaika hivo cjui ndo anajihangaikia kupata chochote kitu😆
2026-10-14 05:29:29
14
Purple💜🔐 :
Doctor kwan kujifungua nimpaka weeks 40 au me nishachoka
2026-10-13 08:20:01
0
Fau🧕 :
mbona naogopa
2026-11-18 05:37:11
0
Salha Ramadhani :
Mimi nina miezi 5 na wiki mbili anaruka sana ila mara nyng ni chini ya kitovu ,, alaf napata maumivu makali kwenye kibofu ad sehemu za siri ni tatizo??
2026-10-13 11:55:45
9
fatmah malayka :
26 hivi
2026-10-12 15:33:18
1
double e :
hiii ekaeka inaraha yake na kauchovu kake kakianza kucheza hivo ujue ndo kulala no
2026-10-12 20:50:49
7
beautiful Charu :
mbona wangu adii baba akee amgusee ndy anchezaa miezi tano
2026-10-13 17:44:50
8
black beauty :
mmmh mimi sijai ona mtoto akicheza hivo kwan yuko vitani[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-15 18:04:33
0
Princess Ngowi :
huy n mm miez saba anapiga mateke ad najikuta nashtukaa😁😁
2026-10-13 06:01:25
1
momy love :
mmmh
2026-10-13 20:37:13
0
Cathy24 :
😂😂😂😂😂😂
2026-10-20 17:16:40
0
Comfort♥♥ :
Mi akianza hv ni kucheka tu sina namna😅
2026-10-13 04:43:13
0
ney ney :
kwan anagomban na nani umo
2026-10-13 06:42:31
2
👸 :
nina wikin33 ila makadilio yang ni mwezi11 mbn sielewi hapo kam nitachelewa sanaaaa jamany
2026-10-13 17:39:52
3
ZAYRO :
uongo
2026-10-14 04:59:13
1
Dadawavijana :
Hapo anataka kwenda shule
2026-10-15 05:20:47
0
ney kishia :
ehh mungu kun sara kazi izo ten
2026-10-14 09:27:27
0
To see more videos from user @afyawarrren, please go to the Tikwm
homepage.