@jvckieseven: MWAKA 2012 msanii SPINCE aliachia huu wimbo wake safi sana uliofanya vizuri sokoni aliomshirikisha mfalme alikiba. wimbo unaitwa AYAYA ulitayarishwa na producer MAZUU. IKUMBUKWE huyu jamaa SPINCE kwa mara ya kwanza yeye ndiye alishirikishwa na ALIKIBA kwenye wimbo wa CINDERELLA

JvckieSeven
JvckieSeven
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 12 October 2026 15:14:33 GMT
31703
1686
21
54

Music

Download

Comments

user5983933523369
dorie ♥️ :
imagine one day future husband aniimbie ukumbini hiyo sijui ntakavyokenua♥️♥️♥️
2026-10-13 07:20:56
2
kubangaiza.m.kund
Kubangaiza M Kundavi :
Huyu Dogo nilikutana nae Vingunguti Mwaka 2008 nakumbuka alisema anasoma Chanzige Form 3 pale Kisarawe. Nakumbuka tunapiga stori alisema yeye ni Msanii na hatua za Kishule anasimamiwa na Mwalimu wake. Baada ya Miaka nikaona ngoma hii nilifurahii sana japo sikumuona tena na hanijui 🔥🔥🔥
2026-10-12 15:39:01
5
jastinfilibert
Rund boy 🦴 :
walisha potea ni kama hawaja wahi kuwepo😅
2026-10-12 20:49:40
2
user4905973300788
Dee XXX :
ilikua noma saana 🔥🔥
2026-10-13 06:10:37
1
njowoka2024
njowoka2024 :
namtafuta huyu video vixen anaemjua amtag
2026-10-13 17:41:50
0
agripa635
Agripa :
oya saut ya kiba itengwe duuuh
2026-10-13 07:57:21
0
electrician.tz2412
Electrician⚡⚡ :
sahivi yupo wapi
2026-10-13 04:07:25
1
mapalomilambo
Blessed :
wow 🥰🥰🤣🤣🤣
2026-10-13 13:37:39
0
user6975714851120
user6975714851120 :
nilikuwa naipenda
2026-10-13 06:51:12
0
isackmaziba8
paul kaswahili :
2026-10-13 06:29:34
0
yesemayolo
Yese tz :
nipe Alikiba mwana
2026-10-13 07:57:26
0
augustinojonas0
Nkrinkinchi Nkrankrancha :
201213 kiba alipiga kolabo za kwenda
2026-10-13 06:34:52
0
godfrey.chasinga
Godfrey Chasinga :
Bp
2026-10-12 21:48:32
0
saimdau4
saimdau4 :
kwaukali sana
2026-10-12 19:37:49
0
user5983933523369
dorie ♥️ :
nyimbo yangu pendwa 🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️
2026-10-12 16:39:44
4
vumii333
vumii :
😁😁😁
2026-10-12 20:02:36
0
To see more videos from user @jvckieseven, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About