@millardayo_: Mahakama ya Wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza imemhukumu Suzana Marwa, maarufu kama Maswi (78), kifungo cha miaka 30 jela baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kukutwa na bangi yenye uzito wa kilogramu 33.25. Suzana alikamatwa Machi 29, 2026 katika eneo la Bugarika Kaskazini, baada ya Maafisa wa DCEA kufanya upekuzi nyumbani kwake na kukamata bangi iliyokuwa kwenye mifuko miwili na ndoo ya plastiki. Katika hukumu, Hakimu Mkazi Mwandamizi Clement Tuji alieleza kuwa umri mkubwa wa Suzana ungestahili kuzingatiwa katika kumpunguzia adhabu, lakini Sheria inaweka kifungo cha lazima cha miaka 30. Mahakama pia iliamuru bangi hiyo iteketezwe na fedha taslimu shilingi 195,000 zilizokamatwa zitaifishwe. #MillardAyoUPDATES

millardayo
millardayo
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 12 October 2026 15:17:05 GMT
251676
9366
520
733

Music

Download

Comments

goattz7
🐐 GOAT 🇹🇿Tz🎮 :
alale mahali pema pepon akitok jel ni marehm
2026-10-12 15:24:29
255
joycedaudi836
꧁༺ It's Joyful༻😘😘😘 :
msiseme tu ni Arusha me nshachoka😂😂😂😂
2026-10-12 15:54:47
122
melichomasengo
Melicho Masengo🧢 :
No one can do it
2026-10-12 15:41:16
41
beingmrst
beingmrst :
Bibi kawezaaaa 🥰get rich or die trying 👊🏻
2026-10-12 18:35:57
0
dhulkiflimohammed
king :
msiba tunao hatuna😑
2026-10-12 17:40:14
7
official_adam_magari
official_adam_magari..! :
Ndo vit vya msingi serikal yetu inavyofatilia
2026-10-12 15:29:51
42
mesha.og.tz
mesha :og :Tz✌️ :
Naona mnamhakikishia kifochake [Embarrassed][Teary eyed]
2026-10-12 17:33:25
0
vibe.scott
Vibe ~Scott~ ⏳️🌵 :
sijawai ona fisadi akifungwa kwenye ili taifa 🥺
2026-10-12 15:55:53
35
erick_adam3
ERICK_ADAM :
mwaka Mmoja anakufa si Bora mmngemuacha tuu kuitia hasara serikali
2026-10-12 16:03:15
35
pacomesingatzyou
PACOME SINGA TZ______ :
Pole pusha
2026-10-12 18:13:35
0
mrhustler477
HUSTLER ELECTRONICS :
nlimwambia bibi hyo michongo siyo sas one 🥺
2026-10-12 15:21:17
62
ginga.boy69
ginga boy :
huyuu bibi namfahamu vzuri sana yeye na bibi yangu wote ni wabibi😂😂
2026-10-12 17:07:02
8
feydorls
Feydorls🦋 :
Kwan hakuna fain jaman tuweze kufanya jambo kwa bib huenda anapambana anavijukuu vinamtegemea sai akae jela asee dah nmeumia
2026-10-12 16:54:50
15
congo255797914875
Congo+255797914875🇹🇿🇨🇩🇰🇪 :
🇹🇿is not for beginners
2026-10-12 16:36:31
0
paschalaman
b.boy :
najua itakuwa Arusha
2026-10-12 15:42:36
6
olaizeriobo
Mikaeli Olaizer obo :
mhhhhhhĥh
2026-10-12 18:22:29
0
graciously957
graciously :
KWANI SERIKALI WANAIBA VINGAPI BANGE SI NI TUMBAKU LAKIN MTOENI TUU NA MTUAMBIE BANGE AKE MMEIWEKA WAPI
2026-10-12 15:58:45
16
yosoph1
yusuph :
78+30=108 😭
2026-10-12 15:29:09
1
missmbise0
Wise lady🌹🌹 :
Sasa hizi sii laana kabisa
2026-10-12 16:20:16
6
bi.marym
mariam🦋 :
asa jamn bib ang anawatt na wankzi nzuri2 na hawamsaidi angefanyaj na wajukuu zake tungeishije et mwandshi
2026-10-12 15:26:30
5
jimmybundala208
jimmy log6 :
msiba tunao hatuna
2026-10-12 15:29:16
6
my.tash3
BHUJU🦋💕💸 :
20.20
2026-10-12 16:00:01
1
zahara68468
zahara :
bibi mwenyewe anasemaje
2026-10-12 15:26:45
4
theobard.killer
unstoppable :
kwa maana hiyo ndugu mwadishi bibi yangu ataachiwa huru mnamo mwaka gani mi sijasoma hesabu 😳😳😳
2026-10-12 16:08:36
3
promaxie2503
😘Prömãxiè💕 :
78+30=R.I.P Kuna makosa mengine serikal iangalie na miaka ya kukaa jela na miaka ya mtuhumiwa jmn😔
2026-10-12 16:29:33
3
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About