@kkktruanda: Hivi ndio Namba Mama Mwakatobe alivyomuaga Mume wake, Rafiki yake Na pacha wake

RUANDA LUTHERAN CHURCH
RUANDA LUTHERAN CHURCH
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 12 October 2026 16:02:01 GMT
64470
3307
178
147

Music

Download

Comments

kalile204
hejoka🖤 :
rest in peace mtumishi
2026-10-13 06:53:56
0
elishadai5
Favour :
Imani ni kitu cha ajabu sana huyu mama anaamini kuwa Mume wake amelala mahala salama kabisa na anaamini Mungu yupo na hili ni jambo la Mungu na Mungu kasema tumshukuru yeye kwakila jambo.
2026-10-12 18:18:56
114
fibesanga
Fibe sanga :
Wanaitanaga hawa unakuta mwingine hawezi kuishi bila mwingine
2026-10-12 22:23:30
20
user1356661951700
user1356661951700 :
this FAITHFUL MOM ❤️
2026-10-13 06:04:32
0
ngumungu
Rachel designer ♥️ :
watu wenye upendo wa hivi mara nyingi wanaitana sijui kuna nn ila mungu azidi kukuonekania
2026-10-13 05:57:16
20
christina_mwambalaswa
Blessed Girl 🏹 :
walianza kufanana mweee
2026-10-12 18:53:56
19
antonymswima
antonymswima492 :
pole mama
2026-10-12 20:34:55
0
emmy637723
Emmy :
Ameen A
2026-10-13 04:16:56
0
stationerytukuyu1
vero Stationery Tukuyu :
naogopa mimi jomoni, ndiyo niimbe hivyo uwiii
2026-10-12 17:01:42
9
evaabisalom978
Eva Abisalom :
Ameen Ameen mama
2026-10-12 16:27:33
0
mwakatobe67
Anyigulile :
poleni sana ndugu zangu hakika mungu yupo hatatuacha ktk kipindi hiki kigumu.Amina
2026-10-12 18:32:40
7
lulu_be2
lulu :
mwe bha jaman nimelia dah huyu mama ana MUNGU sana
2026-10-13 11:54:49
1
user44242587046860
user4424258704686 :
Wale wanawake aliowasema Yesu niwapate wapi wanawake wanaojua kuomboleza ndio hawa sasa hongera sana mama mwakatobe na pole Mungu akutie nguvu zaidi🙏
2026-10-12 19:04:51
23
zedy.kyando
Zedy Kyando :
umri wa mzee kama huyo unalia nn ni kumtukuza mungu
2026-10-13 12:12:41
2
esteranyosisye
Ester Mwaki💞 :
Mama atakua mpweke sana ashamzoea mume wake kuimba wote
2026-10-12 18:08:10
20
irene.kavishe33
Irene Kavishe :
kuokoka ni Raha sana Yan ukiokoka huna hofu ya kifo
2026-10-12 18:31:19
19
user5881223500211
hope dee :
pole mama
2026-10-12 18:57:24
0
sarah.ezekiel.san
Sarah Ezekiel Sanga :
Mung amtie nguvu huyu mama anaimba Kwa hisia sana ya uchungu
2026-10-12 19:08:24
11
gracesampeta
🎀💝𝓖𝓻𝓪𝓬𝓮𝓃𝒶𝓏𝒶𝓇𝑒𝓉𝒽 :
mungu akutie nguvu bibiangu😭😭
2026-10-12 17:59:33
5
juliaane.g
juliaane g :
pole saana mama ,unamuenzi mwenzio kwa nyimbo maana mlikua mnaimba wote
2026-10-12 16:45:08
6
naomimwampondele8
naomi :
hongera mama kwaujqsiri ulio uonyesha
2026-10-13 05:20:07
2
neemakamwela3
nil :
Yesu mwenyewe alilia kuonesha uchungu na namna kifo kinavyouma sasa roho ngumu ya kupoteza rafiki kipenz ambaye hamtaonana kamwe inatoka wap
2026-10-12 19:37:33
2
user83487944615878
user83487944615878 :
jmn kkkt wenzangu ni wimbo no ngap huu
2026-10-13 12:13:05
1
mcwangu
Mama Lulu Beauty Saloon :
jmn Mungu amtie nguvu huyu mama, ana uchungu sana
2026-10-12 18:21:59
4
angel_cosolakambo0
Angel kambo :
Aminaaa
2026-10-12 18:00:56
2
To see more videos from user @kkktruanda, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About