bro wachia registrars job zao ,what you are saying is wrong
2026-10-12 18:42:56
10
Kuria Symon kenya signlanguage :
waambie lazma dad concent iwe, ama court order which u get after getting concent ukisema wakili watadhani nn kitu simple ya call 😂😂😂😂😂😂😂
2026-10-13 09:09:00
1
GRAND MOTHER ❤️ :
My ID iliandikwa the wrong date of birth, nifanye nini please
2026-10-13 06:03:14
5
JACOB MULI :
ok na spelling?
2026-10-13 07:51:08
1
elequentedu :
Na kama haujachukua birth certificate na na uko na birth notification... can you change the names on notification?
2026-10-13 11:25:30
0
Carolyne akwanga :
Makosa ilitokea birth certificate na results za exam
2026-10-13 06:29:30
1
jacksonmasila :
nataka birth certificate ya Mtoto wangu, nitapata aje.4 months old
2026-10-13 11:18:01
0
Johnes :
Hello sir
Kindly, I wanted to ask if the child was born while living in kitui then later on moved to Nairobi, must I apply and go collect it in kitui or there's a way I can apply and collect it in Nairobi?
2026-10-12 16:24:15
0
Annie, Nasimiyu :
nimebadilisha yangu kwa Nofication
2026-10-13 06:40:03
7
queen ryna :
nkitaka kuchukua birth ,wanahitaji copy ya id ya baba mtoto kweli???
2026-10-13 16:09:18
1
Dulla Mastory :
Je kubadilisha certificates majina zako
2026-10-13 06:48:32
1
kallysafi :
wangu nlimbadilisha Madina zote na nkachukua birth certificate upya sitakagi ujinga
me nilitoa Mia Tano ikabadilishwa...wewe unasema Nini?
2026-10-13 07:10:31
1
Chebii the Boss lady 💝♥️💕 :
Na kutoa ya baba yake akiwa one year inawezekana
2026-10-13 04:46:06
1
mama Christine @05 :
na nikitaka kutoa jina la babake
2026-10-12 20:49:37
1
Antony Ouma :
chief mm nilichukua baith certificate na wakati nilikua na enda kumuigiza kwa Sha nikahambiwa birth yake ni fake na nilichukua kwa uduma center kajiado ss nashanga sana ni fake aje
2026-10-12 20:31:55
1
Naomi Seese :
kutoa y babake inawezekana
2026-10-13 13:02:20
0
boychildliz :
na je kama mtoto birthcertificate yake inasoma majina mbili na unataka kuongeza ya tatu naeza saidika aje
2026-10-13 10:58:13
0
Bismark Kitavi :
na ku apply Id ikipotea saa hii Kuna fee unalipa bro..help pls
2026-10-13 08:37:40
0
kinyoli :
mimi niko above 40 na sina birth certificate nitapataje
2026-10-13 06:38:59
0
Nancygrace :
mtoto arikuwa six months kubadirisha jina nirikuriwa 1250 surely
2026-10-13 05:20:28
0
Toto la Kiswazy :
Na nikitaka kutoa damu ya baba mtoto pia inawezekan
2026-10-13 11:00:36
0
stellah :
nahithaji kubadilisha
2026-10-12 18:54:13
1
gambo matano :
chief mtandaoni! very good. unatufikia wengi na kutuelimisha kabisa. keep it up my chief
2026-10-13 04:16:41
2
Kovsky :
Na umesahau kuwaambia hii ni kenya,,Bila kitu kidogo hakuna huduma,,,🤣🤣🤣Useless country
2026-10-12 19:16:05
2
To see more videos from user @orina_tom, please go to the Tikwm
homepage.