Mimi sina mazoea na majirani kabisaaa wanasema naringa lkn naenjoy maisha sana
2026-10-13 06:52:08
36
@triphniajovini1 :
mmmmh kumbe mimi ni mjingaa aiseee yaan jiran yangu anakuja hadi ndani
2026-10-12 19:38:53
20
Aneth 🦋🦋 :
mm nilivyo sipendi mazoea kabsa na mtu
2026-10-13 05:29:37
13
NarophlyNamelok🧉 :
kumbe Niko na tabia sahihii👏👏👏
2026-10-12 18:22:55
17
Pendo Amos :
ssa utamfukuza mtu jaman
2026-10-13 07:25:34
3
Kim ✨🎀❤️🔥 :
Hapo kwenye pharmacy Ndio mimi Sasa
2026-10-13 10:37:27
1
yu😍 :
pharmacy jirani nanunuaga pedi na panadol tu
2026-10-13 09:10:06
2
Miss Yashla :
hata kusuka hatusuki saloon za jirani
2026-10-13 11:33:05
2
Mwani 003 :
Mim nipo hivyo wananiogopa yan sinaga muda wa kukaa na jirani kupiga story ni salamu tu
2026-10-12 18:51:38
7
Cute 🥰 :
Kama mm nin washing mashine jirani yangu aliona siku nainunua na sasa anaomba afulie kwenye hiyo mashine sasa itakuwaje maaanipo chumbani nipeni ushauri ili jirani asiingie ndani nijibuni haraka ili hii comment niifute mapema
2026-10-13 07:10:44
0
Sheisfay ❤️ :
Me kwangu staki jiraniii asogee ht mlangoni kwangu
2026-10-13 09:01:44
1
Martha :
mm cwajui majiran Zang, nkiamka saa12 asbh narud saa4 uck
2026-10-13 05:30:46
2
lista Jackson🍎🩵 :
Mie atakusalimia shida
2026-10-12 18:23:53
3
Rev Patriciah Gichuche :
Ukweli Kabisa..
Asante kwa ushauri wa hekima[Pray]
2026-10-13 01:29:04
2
Nasra H,K omg :
mbona ume chelewa kunambia 😳
2026-10-13 06:46:27
1
warda official :
sawa
2026-10-12 23:45:34
1
Qwarehi qamara :
😂😂😂😂😂
2026-10-13 02:53:59
1
Mom Gianna :
😁😁😁kwel kabisa
2026-10-12 23:34:16
1
Chris🥰🫶🥰 :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-13 03:10:17
1
@Callmicatty ..lwizzy :
kwel kabisa ✌️
2026-10-13 14:54:59
0
Successfullycake_bites :
hivyo ndio naishi
2026-10-13 12:23:36
0
Mali Chanda :
😂😂😂😂😂
2026-10-13 13:23:56
1
Hilda Odhiambo :
Kabisa majirani mkome
2026-10-13 12:52:19
0
Nairath Alphath🩷🩵 :
Kuna hao majirani Zang hata sura hawanijui 😁 wananisikia sauti tu
2026-10-13 08:26:37
0
HADIJA :
mpaka kinena kimenicheza
2026-10-13 07:52:05
0
To see more videos from user @judge_roy, please go to the Tikwm
homepage.