@mc_power: WANAWAKE WA NAMNA HII WAKWEPE SAAAANA. #tiktokkenya🇰🇪 #tiktoktanzania🇹🇿 #viraltiktok #views

MC_Power Tanzania
MC_Power Tanzania
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 12 October 2026 16:12:42 GMT
6389
284
18
38

Music

Download

Comments

washawasha016
jannat :
wanaume wanadhani tukiwa bize, hatuwatumii sms au kuwapigia. ,au kuwatafa,wanadhani tunakuwa na mahusiano mengine. kumbe wenzao. tushaumizwa uko nyuma,tuko bizi kutafuta pesa, na kuhudumia watoto wetu...mie ndo nnaizo sifa tatu zote bila kuwa na mahusiano. Utatuma meseji kila siku, sina mda[Big LOL]
2026-10-12 20:45:24
1
alphonceray73
Αlliе. :
kaka kiukweli apo ni umenigusa mimi kwenye uhusiano wangu so bigup 🫡
2026-10-12 16:52:02
2
new.kivuruge.boy
new, KIVURUGE >>> BOY :
100%
2026-10-12 21:31:56
1
leilla414
leillamsambah :
kaka ulinifanya nilie ulivo react kwenye wimbo wa ambwene big up sana
2026-10-12 19:11:03
1
lizy.makol
Lizy Makola :
namba 2 ndo mm uyo nikiwa skupendi 😂😂
2026-10-12 19:08:51
1
preety.hannan
preety hannan :
Thanks
2026-10-12 19:03:55
0
mainesssabibi
Mainess Sabibi :
2026-10-12 20:50:05
0
themvptz
mvp :
Dah 💔
2026-10-12 20:35:02
0
aishakhalfan235
mAisha siri :
sasa na hayo tukifanyiwa sisi wanawake je Mia hatupendwi au
2026-10-12 19:40:45
0
roygonsalves78
Roy Gonsalves :
2026-10-12 18:59:02
0
eria.dotto
Eria Dotto 🇹🇿 :
2026-10-12 18:07:22
0
user7178179935758
Amreen Ahmed :
ata mwanaume wa aina hii,, tunatakiwa kukwambia tena mbali sanaa
2026-10-12 19:11:58
1
To see more videos from user @mc_power, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About