@yasrajay: asili imenipa macho nashukuru, nione mabaya, matamu, nione mazuri yanayonidhuru, mwanzo niliogopa simba, sasa nafunga mlango maana hata binadamu ananiwinda.. nimekinai maudhi 😑 @Dizasta Vina - The last confession #dizastavina🔥🔥✍️ #dizastavina🔥🔥🔥 #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #mzitech