@doreenngowi0: USWAHILINI EP 19#viral #viralvideo #aistory #1millionviews #CapCut

Simulizi za Dee
Simulizi za Dee
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 12 October 2026 16:32:47 GMT
181990
21688
298
262

Music

Download

Comments

mamuorg0
a'm mimi💦💧🍉 :
Turizeni sura ya mwantumu jmn
2026-10-12 16:38:11
117
oprah.nice
Oprah Nice♥️ :
next please
2026-10-13 10:14:36
0
cuteprominegal
promine gal :
m naona kidawa atamgeuka na kumzunguka mwenzie nan anakubaliana na mm
2026-10-12 16:51:21
49
pumpkin_unah
pumpkin_unah :
We nae kwa nusu nusu kma hutaki acha story nzur unatoa kdg kdg unajua najsikiaje nikikosa muendelezo unanikwaza
2026-10-12 16:50:01
52
ellenycute8
ellen💞 :
Nxt plz
2026-10-13 05:16:06
1
lucyalex32
LUCY 🌹🍾 :
Watu wa Al wanafanikiwa haraka jamani mi bora nije humu😅😅😅
2026-10-12 18:02:38
15
nazminaactress
❤️Nazmina🦋🦋 :
Mbona samaki mbichi😂
2026-10-12 19:27:35
7
lawrance018
berry09 :
next pls
2026-10-12 16:40:45
0
mwasiti.sawe
mwasiti sawe :
next plz
2026-10-13 05:58:25
1
tewfg23
nayrat _heena🦋 :
mbn mwantim hukuivisha samki lkn
2026-10-12 16:36:23
17
zahcute8146
Zahcute814🇹🇿 :
Kapewa nguo za jonas ila ni 3pc 😂 ina top 😂😂
2026-10-12 19:35:02
3
salama.abdi4
Salama Abdi :
next please
2026-10-12 16:38:13
3
shinaz630
jamila sultan :
next plz
2026-10-12 16:37:54
3
stosa50
stosa-kid🏈 :
wale wa 10/10 kwa uaminifu
2026-10-13 12:21:40
0
emsweetcake
emsweetcake :
Baada ya izi episode ndo utaona vzur roho ya marafiki akuna rafiki mwema abadani yan wakutaka umzidi …ni 50 kwa mmoja..
2026-10-12 16:44:47
27
user5009702873191
🎀mrs🎀muneer🎀 :
yan mwantumu ana sura 99 khaa jmn mnatu changanya bn
2026-10-13 11:59:06
0
_.itsmreno
𝒜𝒾𝓈𝒽𝒶 ♡ :
Leo nimewahi😂😂😂😂
2026-10-12 16:35:53
8
user7730948753209
mom Lee💕 :
uzuri inanifata yenyewe
2026-10-12 18:36:53
3
zenahcute3
Zenahcute :
Unachelewesha kutoa alfu vipande nivifupi sana
2026-10-12 17:21:14
5
merry.paty
Cute ❤️Mchina♥️♥️♥️ :
Iyo track imempendeza adi so poa ukitaka kujua watu wanaendana kuendana huanzia kwenye mavazi
2026-10-12 16:39:02
5
user4928221749055
Bass's :
wakwanza mie leo
2026-10-12 16:38:24
6
foreverbae14895
foreverbae14895 :
Mm kipofu nauliza nazi ipo wap 😅
2026-10-12 21:23:26
3
parvoul.angel
parvoul.angel :
Mambo ni hot👌🏼
2026-10-12 16:38:45
2
msmayra08
Shainaa🫧 :
Uyu kipara sura inabadilika kila wakati😂😂😂😂
2026-10-12 17:06:14
3
rey.watalile
Rey WATALILE :
jmn tunaombaa mtulizee sura y mwantumuuu khaaaa😂😂🙌
2026-10-12 19:15:37
2
To see more videos from user @doreenngowi0, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About