ila jamani ni saw sweet ana makosa na kosa lake kumnyanyasa monalissa
lakin uyu monalissa anakosea kwanini ampende juli kwanin akae nae karibu sijapenda monalissa bhn sii vizuri bhn kwanini akubali nae kumpend na kwanini abaki uko anabaki anatak awe mke wake apan iyo mbaya
2026-10-13 05:13:12
11
Lady💯nah🥀💐 :
Si nimekwmbia mona usiende haha[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-12 17:11:52
7
young shah...... :
kufa kwa juli. movie ina Edna kuharibika.... jamniiii💔💔💔😡😡😡
2026-10-12 19:29:30
6
user6252339936028 :
jna l movie please
2026-10-12 19:15:32
3
Mama T🦋 :
hii movie sasa inakera binafsi nimepitia changamoto Sana kuishi kwa mama wadogo manyanyaso ila ni ilikua nikapata nafasi za kuziepuka sigeuki nyuma bora niishi na watu baki kuliko ndugu Sasa monalisa changamoto anazitaka yy mwenyewe
2026-10-12 23:41:26
6
user2342733543202 venanceassan :
apo july kafa nashia apo sita tizama tena
2026-10-13 04:52:50
2
vee🥰 :
Hii movie kuna wakat mwingine inakera bhana😔
2026-10-13 18:29:50
2
ALPHA(I.G.F)👰🏛️🇨🇨🇧🇮🇨🇰 :
mama😂mama[Larmes de joie]mama
2026-10-12 20:53:21
2
zam zam❄ :
pole sana monalisa
2026-10-13 10:52:32
2
offline🫰 :
il duh ndugu nyote mumewang Mmoja ahhh hapn bwan tafuta tu mwengin il sio mume mmoj
2026-10-13 14:43:14
3
elibath :
next
2026-10-13 09:15:37
1
suzanagirl :
mona bor ubaki kwajuli🥰
2026-10-13 07:13:25
2
aspha :
pole kipenzi changu Mona mwenyezi mungu akupe nguvu kipenzi chang acha uyoo mama aende tu weenda alikuokota ujui tu kipenzi 😭😭😭😢😢😢😢🥰
2026-10-14 06:19:34
2
user3408185088736 :
monalisa umekujaje apo Tena
2026-10-13 08:57:56
0
1 :
okay
2026-10-14 05:32:31
1
joycehumbo :
next
2026-10-13 09:34:24
1
conso :
next
2026-10-13 11:46:21
1
💗💐pretty girl 🥰🌸 :
mnakera sana movie inaanza vizuri lakini mwishoni ni ovyo tu mtu umepata amani unarudi tena kubembeleza undugu ka jika tu 😏😏😏
2026-10-12 19:17:19
5
barack bisturi :
suit
2026-10-13 07:17:16
1
adassa couture :
la suite
2026-10-13 20:06:25
1
getu :
Next😊
2026-10-12 20:50:42
1
Atwiye ❤️ :
Me analiza anakera jmni
2026-10-13 07:58:37
1
raihanashaban880 :
muendelezo
2026-10-13 11:39:27
1
khadija :
next part
2026-10-12 18:02:48
2
To see more videos from user @makavelimoviestore, please go to the Tikwm
homepage.