@iamhuzaina01:

Huzaina🦅
Huzaina🦅
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 12 October 2026 16:54:40 GMT
51945
2181
144
117

Music

Download

Comments

magwi_ft
magwi_ft :
Kwenye ulinzi hapo tuko wengi😂🤣
2026-10-13 04:22:10
16
dijah.kiba
Dijah kiba❤️👑 :
huyu mzim kwl[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-13 07:29:50
0
scolla_cakepoint1
scolla_ cake point :
ambao hatubebi vyote hivyo tunabeba kanga, hela, wipes, mikono juu 😂 msiulize mkate chai haitoki
2026-10-13 06:24:23
24
userki482
Husnaa :
kumbe ni husna😂😂😂😂
2026-10-13 03:40:27
10
ineza737
Ineza :
mimi nikibeba wipes,pads mtandio tissue ,chaja ya simu EarPods perfume lip gross vitambulisho na ela nimemaliza 😅
2026-10-13 07:42:36
0
dada.zuu.bites.pi
dada zuu bites point :
aisee unajiweza vikorokoro teleeee [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-13 06:43:55
0
vmoney255
Official Vee❤️ :
Everi everi everi[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-13 07:04:31
0
mnana6484
@mnana :
Jaman wadada mikoba yetu iwe na kikoi au kakanga mambo ni mengi hata mtandio tu kuna siku kuna mdada aliondoka na mtandio wangu amevaaa kapendeza mkoba mkubwa wamaan alfu ni asubuhi si mambo yaliharibika yale ya mwezini nnamtoto mdogo ilibidi nimpe mimi mtandio alitukanwa na watu nilimsaidia ila nilimshangaa mkoba mkubwa vile ana pods na chupa ya maji ela kuna sehemu haitakusaidia tubebeni mtandio au kanga wadada
2026-10-13 05:20:46
25
de.vivictious
Witty G🦋🔐 :
mbn amna ata mkate humo jamn ukipata emergency inakuwaje
2026-10-13 05:45:48
5
latiphamushy
latiphamushy :
Ila millennials hapana 😂😂😂
2026-10-13 07:34:35
0
user80614806181561
venitha :
nyie vidada vyeusi vizur navipenda jaman
2026-10-13 05:30:44
4
pestanzania
Pes🇹🇿 :
beg la kijeshi hilo mkuu
2026-10-13 04:15:14
24
husnah6614
it's husny🌺 :
wakina husna tumechangamka
2026-10-13 06:02:49
3
mwana0188
kipepeo :
mm mtandio, hela nlonayo lip bum na mafuta mana nnapaukaga dk 0 basiiii
2026-10-13 06:43:01
3
princess.silencer
HAPPY Time :
Anatembea na silaa nimempenda akichokozwa anachoma
2026-10-12 19:59:29
8
keybarbie1
keybarbie🥰💖✨ :
Mmmh Huy mbon kam anaend mkoan
2026-10-13 06:58:52
1
leyhana38
leyhana :
hapo kwenye kisu ndo umenitoa mbavu kaaaah😂😂😂
2026-10-13 07:53:48
1
mimahfantasticabaya
Mimahfantastic abaya🥰 :
Nyie mm n mwanaume😂😂😂😂😂kam ndo hv
2026-10-13 03:29:30
7
.tiffany826
🤡❤️🎀 tiffany :
hii nimeipenda self defense
2026-10-13 03:24:31
6
mwankiss
mwankiss :
Khaaah uje uniandikie maisha yangu😂😂
2026-10-13 06:49:23
1
campbell840
campbell🌸🩷 :
Unalalaga nyumban kwel ww??
2026-10-13 06:49:49
1
sizaabdallah1
Black beauty🌹🌹 :
wallah mumenizalilisha uyo ni mimi kabisa yaan ata unikute nimepebdeza vip mm sikosi kisu
2026-10-13 01:59:56
3
yustinakihomwao
tinah💝 :
kumbe tunaopaka kilainishi tupo wengi[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-13 04:41:51
2
user8496252221674
rosse mwassi :
hata mmi natembeag nakisu kidogo🤣🤣🤣
2026-10-13 04:59:22
2
husnasayyeed1
Da huu!🥰💯 :
Wakina Husna😂😂
2026-10-13 04:56:21
2
To see more videos from user @iamhuzaina01, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About