@mtaani.footballtz: KALETSO ANAUWEZO MKUBWA WALIMTAKA YANGA SC…….. Heavyweight Dullah anasema Kaletso yanga sc anaanza kikosi cha kwanza……#MtaaniFootballTZ #SimbaSC #yanga sc

Mtaani Footballtz⚽️
Mtaani Footballtz⚽️
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 12 October 2026 17:00:04 GMT
181252
18183
145
165

Music

Download

Comments

yobo635
yobo :
yani simba akae bench yanga aanzehiz dharau zimezid huyu jamaa kazid sasa
2026-10-13 18:09:13
25
user6723296796112
official waraga :
huyu jamaaa akichambua wachezaji wa Simba utafikili ni wachezaji wa Barcelona
2026-10-25 10:40:22
44
paulmaker.5
paulmaker5 :
duller heavyweight uyoo so poaa
2026-11-17 15:34:50
1
user77168633612598
HUNTER BOE 26 KIPAJI :
wasafi uyu jamaa mmemtoa wapii anajua sana
2026-10-13 09:24:29
80
user3759676748655
yamaly :
kakak uyo jamaa anajua sanaaa
2026-10-13 07:17:50
34
canelo2340
Canelo :
George ambangile atusamehe tu
2026-10-14 04:51:15
13
user413862947401
DR FREDRICK FOUNDATION :
ACHEZE NAMBA YA NANI
2026-10-15 04:27:13
5
user7680356681191
church boy :
nasubiri watakaokuja kubisha
2026-10-12 19:55:03
20
shukuru.malo
shukuru mallo :
nakuelewa sanaa brooo
2026-10-13 08:11:23
7
samsonruniga
Runiga :
hakika anajua sana ika anahitaji muda
2026-10-12 22:31:23
11
user6530275316913
user6530275316913 :
huyu ndo dulla anasema ukweli kwa fact mzee BG up
2026-10-25 22:59:42
11
money.six.wida
money six wida :
walisema ni budo alie changamka Kiko wap sasa
2026-10-13 19:07:05
8
yambiashura
user6544829768737 :
2026-10-12 18:52:51
2
khadijahmood
khadijahmood :
ndio mana wamekuja kumuiba mwalimu walikua na machungu na kalesto
2026-10-14 05:11:00
5
hasham.tz
Hasham Tz :
kila utaloongea tupo nawewe😂
2026-10-25 23:45:56
5
ibrah_mjamaa17
Montana mjamaa17 :
💪💪Mwamba anajua kuchambua
2026-10-26 22:07:39
2
kasabimachera
issa juma :
kwa eshima kaka
2026-10-13 10:57:47
3
abby.jr53
Abby mzambi@ :
mchambuz bola sana
2026-10-29 23:07:24
1
uninteme
uninteme :
sasa apo tutapita wapi maaana data zinaluusu
2026-10-13 11:52:21
4
diaspora.og
DIASPORA OG :
uyu jamaaa n noma😂😂😂
2026-10-26 15:51:56
2
raisiwamabachela
Raisi WaMabachela🧸 :
Wasafi mwangezeeni huyu mwamba mshahara💪💪
2026-10-27 16:53:57
2
mwanahamis.mussa1
Mwanahamis Mussa :
BG UP MCHAMBUZ
2026-10-26 04:04:51
4
jayrodritz
JAY RODRI TZ🇹🇿 :
dullah kweli wewe ni level nyingine🔥🔥🔥
2026-10-27 14:41:58
3
computersresolution1
Dr.Computer 🖥 :
Chambuzi la 90%👏
2026-10-30 15:32:53
1
yambiashura
user6544829768737 :
2026-10-12 18:52:46
2
To see more videos from user @mtaani.footballtz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About