@seramedia_tz: aabbccvv

sera media
sera media
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 12 October 2026 17:20:54 GMT
97796
2292
459
772

Music

Download

Comments

msjengo
Ms~jengo :
Mkiona mapenzi yamepungua toa taarifa polisi jmn🥺🥺
2026-10-12 18:45:57
125
hadija.aliyy
Hadija Aliyy :
Pole sn
2026-10-12 20:08:02
0
gwantwa22
Gwantwa 🍒 :
Bado anasema Mme wangu
2026-10-12 18:36:42
105
user8394023540620
Ryam Abdul :
#afya akil awareness
2026-10-12 19:59:52
0
devotajofrey375
princessstationery 📖📚📒 :
ila miaka mitatu ijayo sijui kama watu wataolewq
2026-10-12 19:36:39
33
teddyelieza557
teddyelieza557 :
Pole dada
2026-10-12 20:36:03
0
salllllyyy5
Salher🌸 :
Ambao hamjaolewa msiolewe tuliolewa tuombe talaka😂
2026-10-12 19:26:20
23
totorimi72
caren1014 :
siez katwa hv na bado nimuite mume wangu
2026-10-12 18:54:08
34
user8758022274686
Sinally :
Hujasema ukweli tuambie ukwel 😳
2026-10-12 18:57:40
23
96hk_janny
Hk💝janny🦋🎀 :
Yan mm huyu wangu akikasirika tu akinuna napiga goti nalia kama mtoto anaanza kunibembeleza ctaki kufa mim 🥺
2026-10-12 19:31:39
12
msgina24
ms gina :
aliyekuwa mume wako sio mume wako bhana
2026-10-12 20:21:33
6
shulashula619
Shula85 :
jamn had naogopa pole mwaya
2026-10-12 18:45:00
0
itsshuu97
It'sAshura✨️🦋 :
kuanzia leo sicheki tena nikiwa nasoma sms😂 nisijekatwa masikio😁
2026-10-12 19:27:24
6
yogalizzy
Yoga Lizzy :
sitokaa kuolewa maisha yangu yote😅😅😅
2026-10-12 19:35:27
6
daudi.daudi75
D maestro :
sas kama sms ya voda siungempa aione?
2026-10-12 19:47:44
6
rahmarahuum
Rahma :
Nikiangalia kadi za michango ya harusi nilizonazo nashindwa kuelewa😌
2026-10-12 19:34:10
9
rosemutta
Rose :
mimi mwanaume wang ana wivu duu mung nisimamie
2026-10-12 19:08:23
5
tlanka5
Ester :
mniombee haya yanadalili ya kunikuta
2026-10-12 18:56:33
8
liliani168
Liliani :
uwiiii natamani kuondoka kwakina ndoa😳😳mbn kuna tishaaaa kila siku matukio
2026-10-12 19:42:18
9
rey.kitchen.ware
rey kitchen ware :
jamani niombeni naogopa 😭
2026-10-12 18:26:25
10
hildatairo827
Hilda Tairo :
Moyo wangu umechoka sana
2026-10-12 18:15:35
13
veegrl.tz1
veegrl.tz1 :
Ila huu mwaka kwa matukio jamn😳💔
2026-10-12 19:06:12
5
nasmakendrick1
Nasma Kendrick :
jamani wanaume daaa
2026-10-12 18:13:26
10
jujuh..tz
jujuh :
watu na ndoa zao
2026-10-12 18:59:08
6
user6529696873453
lista Jackson🍎🩵 :
Wafia ndoa uvumilivu mwingine jau pole sana
2026-10-12 18:33:39
12
To see more videos from user @seramedia_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About