@fatemagdewji: Kumbe Meddie Kagere alikuwa mpole sana kabla ya mechi… au alikuwa anapanga namna ya kuwatesa mabeki? 😂🦁 Wenzake wamemfungulia siri! 😂 SIMBA FANS, mpo tayari kwa episode ya LEGENDS? 🔥 Andika SIMBA 🦁❤️ kwenye comments kama unasubiri hii episode! Apparently, Meddie Kagere was always the quiet one before a match… or was he secretly planning how to terrorize defenders? 😂 His teammates are exposing his secrets! Drop a 🦁❤️ if you can’t wait for the LEGENDS episode!
Ila kiukwl kagere ndo mshambuliaji bora kuwahi kutokea 20+ goals kwa season tatu 🔥🔥🔥
2026-10-12 19:38:07
36
KISONGI VINANDA45 :
respect dada
2026-10-12 18:07:00
2
Omary Juma :
Simba familia kubwa🥰
2026-10-13 06:26:24
2
ngogojr6 :
Nimetokea kupenda sana hizi segments unafanya na wachezaji wetu pia wadau WA mpila WA miguu kwa ujumla unajua kwakutokana na uwezo WA wachezaji wakubwa kama hao waliopita hata wanaweza kutoa ushauri kwa wachezaji wetu pale wanapokwama na kuwasaidia mawazo ni vipi wanaweza kufanya kusaidia timu yetu kuwa Bora zaidi, hongera kwa Hilo and am proud of you,keep doing what you do
2026-10-12 18:23:29
17
Sport center :
legends to the world 🌎 ✨️
2026-10-12 18:14:47
21
Mnikeni Motors :
Hawa jamaa nawakumbuka mno
2026-10-12 19:30:15
6
Hans Ernest :
jambo jema kuwaweka kalibu wachezaji wetu wa zaman
2026-10-12 18:58:14
19
Shyner :
Simba ya hawa ndo walifanya iwe top 5 Africa daaah