Mm nae n kama khadija ( RA) nkikupenda nakuonesha wazi wazi siwez ficha hisia kama nakupenda nakuonesha na kama nakuchukia nakuonesha pia
2026-10-13 10:30:17
9
mnyamwezii QUEEN :
Bint umenishinda twabiaaaaa😂😂😂😂
2026-10-13 10:45:06
1
Abu Hanifah :
Ali mwenyewe ndo mim sasa🥰🥰🥰
2026-10-13 09:34:40
1
Amina Abuubakar :
mashallaah
2026-10-13 08:46:48
1
yasmin 798 :
iyonayo inaumiza sana unampenda mtu unashindwa kumwambia
2026-10-13 11:20:09
2
اواش 🕋🕌🧕💚 :
Alhamdullah nilipata huo UJASIRI na leo ni MUME WANGU 💍♥️✅️msiwe na wasiwasi Nilitanguliza neno BISMILLAH leo nasema ALHAMDULLAH waelezen jaman
2026-10-13 09:00:00
2
AL-KHAWARIZMI ALI :
Bwana Ali kumbe na yeye anapendwa mashallah mashallah mashallah 🥰🥰🥰
2026-10-13 18:10:57
1
zulekhat :
yaarabi hakika unajuwa yaliyomo vifuwani mwetu tutengezee wewe unaweza mola wetu sisi hatuwezi bila wewe amiiin
2026-10-13 09:45:24
3
nurah :
jina la kaswida
2026-10-13 09:25:56
1
breezy 🦋🦋 :
nakupend kwa ajil ya allah 🥰
2026-10-13 08:46:52
1
Arman :
Shukrani kwa ujumbe mazito
pia Allah atakupa unaempenda
2026-10-13 08:46:17
1
Rahman :
mashallah
2026-10-13 09:29:04
1
.... :
usikae kimya niambie tu kama unanipenda🤣🤣🤣
2026-10-13 04:31:16
1
mariammpunga :
Na M'Mungu akanifanyia kheri na Bwana Ally ninae Alhamdulilah
2026-10-13 08:00:09
1
Sherry B :
kwani bwana Ally mwenyewe anasemaje?
2026-10-13 10:03:32
1
Nassoro said :
kilicho nivutia ktk hii post yako n huo ujumbe ulowndika inaashilia tosha mwanamke niliekua nikimgojea atokee humu TikTok ambaye walau dini kahifadhi kdg naomba nikikudm usisise kujbu🥰🤣
2026-10-13 13:07:14
4
Ukhty mwana 🕌 :
Mashaallah
2026-10-13 07:23:19
1
phairunynaiphaty :
pole أخت زينب
2026-10-13 05:32:17
1
Swaum 💞 :
mashallah kipenz changu
2026-10-12 22:40:25
2
user5189434554193 :
itabidi jipganie kama wajina wangu
2026-10-12 19:53:49
1
Hadija Lukinga :
jitahidi kipenzi kuongea
2026-10-13 06:18:37
2
📚 طالب العلم الشرعي 📚 :
ukhti ukimpenda mtu kwa ajili ya Allah mueleze ukhti hata kupitia watu
2026-10-13 07:08:19
1
latay Classic tz :
maneno mazur yenye hekhma
2026-10-13 04:35:55
1
ALBY MUHAMMAD ALLY :
😢😢😢 pole , unaweza ukamueleza tu Kwa u pole atakuelewa, wengine huelewa mbn
2026-10-12 18:10:21
0
To see more videos from user @ukhutyzainabu0, please go to the Tikwm
homepage.