niko busy na glossy huku dodoma nyie maisha haya[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]nilivokuwa natamani kuwa doctor saizi nauza bia[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-12 20:09:18
2
binti sayun :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]mi niko dunian ndo napika zangu ugali apa nile
2026-10-13 09:21:04
0
parfect🥰 :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] me nipo nalima mpunga
2026-10-13 19:24:39
0
Rachel 💚💚 :
Nipo ila sijui nipo wap nisaidieni🥹
2026-10-12 20:07:24
35
Elrose Bernad :
nipo napikia mtu na watoto wake bila malipo😅
2026-10-13 05:11:06
125
Tyner Mataro :
mm npo kazin
2026-10-13 22:29:31
0
Anna :
tena lilikuwa linauza sh.50😂😂😂
2026-10-13 09:04:22
33
yekonia :
tunaendesha bodaboda now
2026-10-13 17:58:20
0
ELIZABETH COLLECTION :
hata sijui niko wapi😂 umesahau kuweka tait ya zipu mbele na chupi za utajiju😂 na bajaji nyeus😂na mfuko wa rambo wa mistari🤣🤣🙌
2026-10-12 20:44:02
70
Africa Hopoe💗 :
[Laugh approved][Laugh approved] Niko napikia mtoto wa mamkwe apa
2026-10-13 17:26:18
0
Derick Aisack :
mi niko mgodin nachimb dhahabu
2026-10-13 10:48:56
11
lucy :
niongee kwa kukaa au kwa kusimama 😂😂
2026-10-13 08:36:46
29
Itxtinah❣️ :
me bado nipo natimiza ndoto za bos na hamna kitu mtafanya
2026-10-13 13:39:09
7
♓️ tulsi :
Nipo tu napitapita hata sijui napita kwenda wapi
2026-10-13 10:29:09
8
grace🦋♥️🌹 :
me nimeolewa na Nina watoto4 jaman
2026-10-12 19:49:35
8
Ukhty dijah 🧕🤍 :
Mimi niko nafua nguo za mtoto wa mtu huku bila malipo 😂😂😂😂
2026-10-13 02:45:45
12
frank :
Nipo tu apa nyumbani wananifukuza nikapange
2026-10-13 10:03:29
5
kp🇰🇪 :
me nalinda mgongo hali ni mbayaaaaa🤣🤣🤣🤣
2026-10-13 13:34:25
2
Suzy♥️🦋 :
m nipo zangu uku nalinda DANGOTE CEMENT 😂😂😂😂
2026-10-13 08:08:42
2
Mrs j😍😍😍❤️😜👌🏻 :
Nipo tu natunza mtoto wa mtu na watoto wake tena hata mshahara hakuna et 😂😂
2026-10-13 10:15:52
4
🥷zai🦁♌️ :
nimekuwa mama wa sokoni jaman 😂😂😂😂😂😂
2026-10-13 09:46:41
2
dalla's :
Mim nipo apa nauza mandazi shule hii niliyosea
2026-10-13 14:38:45
0
Pauline Pauline :
nilikuwa sipendi hizi daftar unaenda hospital unaambiea kanunue daftar unarudi na hiii😂😂😂
2026-10-13 12:00:14
2
Fatuma Burushi :
nipo huku gengeni nauza dagaa wa mwanza natamani kurudi nilikotoka mie😃
2026-10-13 06:36:23
1
lizy cute :
yaani nipo tu napikia ugali mtoto wa mama mkwe😂😂
2026-10-13 10:48:42
1
To see more videos from user @santosha663, please go to the Tikwm
homepage.