we umewahi kuona wapi mtoa asist akawa of side kivp max awe on side na shalulile awe of side
2026-10-12 20:13:15
2
ngeleja fikiri kadenge :
sio goal
2026-10-12 19:34:32
0
leston mlenga :
clear offside
2026-10-12 21:14:25
0
mgossi, mkuu :
offasidi
2026-10-12 19:04:38
0
FarmLG :
off side
2026-10-12 18:57:16
1
worldwide :
2026-10-12 20:04:05
1
@47 Raja Raja :
me nishabiki wa simba ila goli la yanga so offside kama unataka kujuwa zaidi we kama ni mwana e football nazani unaweza ukaelewa zaidi 💯
2026-10-12 21:42:46
1
Amos Chenya :
kak afungiww
2026-10-12 18:55:00
1
Richard Nyakega Paul :
Yanga huwa wanabebwa na alajiga ila jana mechi2 inaanza wakamchezea hapo wakavunja udugu
2026-10-12 20:53:05
1
Macky Emmil :
kabisaaa tena ya wazi kqbisaaa
2026-10-12 19:26:01
1
Petro Dustan :
mpira kipa aliucheza hivyo alihuska kuvunja off side
2026-10-12 18:56:40
1
mwasketa :
m nko smba lakn hu uchambuzi tupo nyuma ya mda sana hili ngol halal
2026-10-12 19:47:11
1
dogo biobi :
ni offside
2026-10-12 21:32:18
0
rein09 :
mm ni shabiki wa Simba ila hili goli ni halali kwa sababu mpira kutoka Kwa max uliguswa na kasali kabla haujamfikia shalulile, kwa hiyo kasali ndio alie vunja iyo offside iliyo tengenezwa na shalulile, ilo ni goli halali bro 🙏🙏
2026-10-12 21:34:25
0
ADOADO :
achana na maswala ya soka
2026-10-12 21:57:26
0
Shield jr sports :
kiba aligusa mpira offside ikafa
2026-10-12 21:55:44
0
worldwide :
@worldwide:sio OFFSIDE KWA SBB HUYO UNAESEMA ALIZIDI HAKUPEWA MPIRA YEYE WAKATI ALIOZIDI LKN BAADA YA KUPEWA MWENGINE AKAWA HAYUPO SEHEMU YA OFFSIDE KWA SBB ALIE NA MPIRA KASHAMZIDI SEHEMU
😀
KUTOKANA NA HIVO GOLI NI HALALIIIIIIIIIIII
😀
PITIA SHERIA ZA OFFSIDE WAKATI GANI OFFSIDE INAKUA NA WAKTI GAMI HAIWI
2026-10-12 19:49:01
2
mgossi, mkuu :
hiìi ni kweli jamn😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-10-12 19:04:22
0
allymbata :
mimi n shabiki wa simba kwa maoni yangu hii offside imevunjwa na kasali baada ya kuugusa mpila wa max aliokua kapiga pasi kwenda kwa shalulile
2026-10-12 20:45:31
0
Irene 🌸 :
Huyo ndio Arajiga usiemjua 🤣
2026-10-12 20:44:37
0
Tanzanian person :
mwamby arajiga
2026-10-12 21:00:35
0
Ťx656 :
Brother kilimo kinalipa sio Lazima kila mtu awe mchambuzi
2026-10-12 21:31:25
1
Richard Nyakega Paul :
mi ni simba nimekubali kuwa lilikuwa goli
2026-10-12 20:52:13
0
P. wangu :
kivyovyote kaka ndo wamesha ukalia inauma iyo imagine mtu anapigiwa mpila mpaka alitaka mech iishe
2026-10-12 21:01:32
0
cathy🦋🥂💫 :
bs ni 2-0😂
2026-10-12 21:03:34
0
To see more videos from user @kinega_yanga, please go to the Tikwm
homepage.