@seth.jacob88: 🌽 MBOLEA ZA MAHINDI YA KUCHOMA Matokeo bora ya mahindi ya kuchoma huanzia kwenye lishe sahihi! 🌱💪 Kuanzia hatua ya kupanda, kutengeneza shina hadi wakati wa kutengeneza gunzi, kila hatua inahitaji lishe inayokidhi mahitaji ya mmea. Ufunguo wa kupata mahindi yenye ukuaji mzuri na magunzi bora ni kusimamia lishe kwa usahihi katika kila hatua ya ukuaji. 🔥 TAZAMA VIDEO HII MPAKA MWISHO ujifunze jinsi ninavyosimamia lishe ya mahindi yangu ya kuchoma. #ShambaSmart #MahindiYaKuchoma #LisheYaMimea #LimaSmart #creatorsearchinsights
mifuko Mitano kwa kila mbolea au mbolea zote ziwe mifuko mitano
2026-10-13 03:12:23
2
Samsetty Jayden :
na mbegu nikitumia saba saba inashida..?
2026-10-13 16:10:41
0
MTUPORI 255 :
Bro naku inbox please naomba unipokee
2026-10-12 18:20:00
0
Julius Abdallah :
hiyo dk ni ya njano, coz ukisema mahindi ya kuchoma huku dar tunajua ya njano
2026-10-13 06:12:56
0
Daniel Joseph :
bro mifuko mi 5 for one hekta kel sasa unawekaje za, nahisi kukata tamama
2026-10-13 16:12:29
0
BAZUSHAMAAA WEMBA :
unamwagia mara ngap
2026-10-13 03:48:34
0
chinguile well drilling :
mbegu gani hii
2026-10-12 18:05:35
0
janeurio666 :
nimependa ngoja niingie shamba nijionee
2026-10-13 12:07:42
0
NYAMANCHATA :
mbolea ya kubebeshea umeeka ipi
2026-10-13 08:16:22
0
Inamonga :
Mbegu OG tutaijuaje mkuu?
2026-10-12 18:07:49
0
Julius Abdallah :
halafu hujamaliza kueleza. wakati yanaanza kuchanua......
2026-10-13 06:13:20
0
Masebo Real Estate :
Masebo real estate, tunajiusisha na uhuzaji wa mashamba kwa matumizi ya kilimo na ufugaji, karibu sasa na wewe umiliki mashamba, mashamba yapo PWANI KISARAWE.
2026-10-14 16:37:31
0
To see more videos from user @seth.jacob88, please go to the Tikwm
homepage.