@millardayo_: Rais wa Kenya, William Ruto amemkosoa mtangulizi wake, Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta akimtuhumu kuwa Mtu asiye na shukrani na kudai kuwa amekuwa akimponda licha ya kumuunga mkono katika safari yake ya kisiasa. Kwa mujibu wa kauli hiyo, Ruto amesema alimsaidia Kenyatta kushinda chaguzi zake na kusimama naye kisiasa, lakini Kenyatta hakumuunga mkono alipowania Urais, na badala yake amekuwa akiwashawishi Wakenya kuamini kuwa walifanya makosa kumchagua. “My friend, achana na mimi, huyo Jamaa aachane na sisi bana, Uhuru Kenyatta tulimpigia kura miaka yote, yeye aliniunga mkono? Huyo Mtu ni bure sana, wewe acha bwana, unatukasirisha, wewe ni Mtu usiye na shukrani, unawezaje kunipinga wakati Wakenya wamenichagua?” amesema Ruto kwa mujibu wa kauli iliyowasilishwa. #MillardAyoUPDATES
millardayo
Region: TZ
Monday 12 October 2026 18:22:01 GMT
Music
Download
Comments
@Ezys :
Millard milard milard
2026-10-12 19:55:59
0
Carmo :
oooh poor ruto😂😂
2026-10-12 18:44:54
0
UDO BEAT MAKER :
TENA TULIMPIGIA MI KURA KOOOO
2026-10-12 18:26:35
2
ODDS TV :
SIASA za Kenya Tamu sana 🥰🥰
2026-10-12 18:29:57
1
mwaisa wa mchongo :
2 tam
2026-10-12 19:19:13
0
ONESMO AKWILINI :
Uhuru is doing well, akubali ushindani
2026-10-12 19:33:31
0
🦅broks🦅 :
Kenya n kutam jamaan😁
2026-10-12 19:00:37
0
N🫀a🫀t🫀h🫀a :
2026-10-12 18:31:24
0
ARNULFO URASSA🇹🇿🫡 :
2026-10-12 18:26:00
0
UDO BEAT MAKER :
HUKU TANZANIA AU
2026-10-12 18:26:55
2
Saudia 💸 :
Uhuru kenyata 😏😏😏
2026-10-12 18:39:41
0
TRAVELLER🛣️ :
2026-10-12 18:26:02
0
Beacon :
Baaba. Rais ni mseraa Anamwita Rais mwenzake huyo Mjamaaa Akaa. Kenya Kwisha😜
2026-10-12 19:39:28
0
Jackson Tz :
😂😂😂
2026-10-12 18:27:02
0
GIZANI PODCAST :
😂😂😂😂😂😂
2026-10-12 20:01:22
1
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm
homepage.