wanazua mijadala isio na kichwa wala miguu kilichopo hawataki kuonekana kwamba dabi imemwondoa kocha wanasubiri wamfukuze akiteleza mechi nyingine lkn issue ya kumtimua ipo hot
2026-10-13 05:53:02
0
deusimorisi :
ngoja wacheze na azamu watakipata
2026-10-13 05:45:19
0
deusimorisi :
eti sindano hata aibu hawana hawa yanga waambieni ukweli bila hivyo watatolewa mapema
2026-10-13 05:44:26
0
Yehosadaki Yotham :
KOCHA NDOKAMUANGUSHA BAKA CHINI
2026-10-13 05:48:16
0
innocent alex :
mkalaboko oyeeeeee
2026-10-13 05:29:53
0
Rocky Mbwana :
Nikwmbie kitu huyo kocha ataonekan mzr akicheza na Singida,Pamba,Mashujaa,Dodomajj na Kmc japo kashuka jiulize kwann nimekutajia hixo timu fatilia mechi zao wakikutana alafu anglia mbele ya jezi zao kushoto utaelew namaniisha nini
2026-10-13 05:21:01
0
said :
sahihi akunamengine wafukuze
2026-10-13 04:44:26
0
mayasasimai :
waaliambiwa zaman kocha cyee mbovu
2026-10-13 04:15:18
0
Faustine Monyi :
Kweli kabisa Yanga wanatafuta tu visababu visivyo na msingi, ila ukweli uko palepale wameshenyentwa🤣
2026-10-13 03:37:53
0
Adv_NKWERA :
huyu ameanza kupona
2026-10-12 20:44:48
0
zumen Support :
😂😂😂😂
2026-10-13 05:42:13
0
To see more videos from user @sangafilm1, please go to the Tikwm
homepage.