Mimi niliendaga fiesta,nikalewa nikawambia wenzangu kwamba nimechoka nikapewa funguo Ili nikalale kwny gari,nilijikuta nipo kwenye defender karibu na kwangu bahati nzuri jirani yangu ni asikari alikuwa ananijua wenzangu waliacha Gali wakapanda boda🤣🤣
2026-10-13 13:30:32
1
Martha Anania :
mbona cc tumeomba lift sana, kipindi tupo shule au wanatofautiana
2026-10-13 19:17:15
2
Elizbeti jonh :
😅😅😅😅 bado hujasema mbona bado hiyo
2026-10-13 17:08:38
1
mchina feki :
ahahaahahahah pole kaka dh 🤣🤣🤣🤣🤣 kwaio ulipelekwa home au
2026-10-13 16:54:03
0
Mama.ake wawiri✌🏿💋❤ :
leo umeamkia police
2026-10-13 18:07:30
0
Zena bay👮 :
😁😁😁nilimkosea mama ang nilikua namawazo atar nilienda kulewa narud hom nikambusu mama kila kona yakiungo nikatoa nguo zake zote ndan nilifua usiku mzima mpaka saa tatu asubuh nililala apo apo ndan yabesen niliamshwa na mifagio jua lautos mchana kweupe pe
2026-10-13 20:14:46
0
ISSA MAGETI og :
yani k vant sna hamu nayo mimi nlijikuta kituoni alafu nkamuulza afande leo zamu ya nani kununua umeme
2026-10-13 17:41:47
0
Mama paroko :
poleee .
Nimecheka kwa sautiii[Big LOL]
2026-10-13 06:26:49
0
To see more videos from user @mayonde84, please go to the Tikwm
homepage.