@ypmswahili: Hii ndio maana ya pambana na hali yako#tanzaniantiktok🇹🇿 #tanzania #fyppppppppppppppppppppppp #tiktoktanzania

YPM swahili🇹🇿🇸🇪
YPM swahili🇹🇿🇸🇪
Open In TikTok:
Region: SE
Monday 12 October 2026 19:49:03 GMT
16694
869
54
29

Music

Download

Comments

youngkid359
Von Klaus :
Mimi naishi hivyo japo niko bongo sipendi salam na niko bize na mambo yangu
2026-10-13 03:28:36
11
user3307094553353
user3307094553353 :
Wanaogopana kwa vile hawaonani mara kwa mara sasa kwetu sisi huku na michanganyiko yetu utamuogopa mtu saa ngapi🤣🤣
2026-10-14 03:50:43
2
juhaina184
juhaina :
mie napenda maisha ya hivyo huko pananifaaa sana
2026-10-29 04:35:01
0
adolph.alex5
Aviation Activities🛬 :
Ivii mi uwaa najiulizaa sanaa America ni Ulayaa??au ulaya ni British,germany,france and other Europe country but not America
2026-10-22 11:24:32
0
mwalimumatembo
Mwalimu Matembo :
saa Tisa alasiri na sio jion👣 jion INAANZA saa 10[Laugh approved]
2026-10-28 19:29:30
0
chaxfee12
zamzam bakari :
dah inshallah ipo siku nami nitafik nchi za wat
2026-10-12 20:24:49
2
victorious.me0
victorious :
mimi nilikiwa finland nikaondoka ndani ya miezi5😂😂
2026-10-27 09:08:23
0
giftbop
John Johnson :
huko mbona pananifaa kabsaa mambo ya vibe namm nibang na serikalini
2026-10-24 10:19:00
0
mamanmobokoli
mamanmobokoli :
Kweli ulaya inayo upeke kabisa ni hatari😔
2026-10-13 04:18:28
0
maisha_ya_kweli4
OSMARN KANJO 🇹🇿🇦🇪 :
me mbona maisha aya naweza nkaish me mwnyw napenda saana kujfungia ndan
2026-10-21 17:20:51
0
west82184
JITU Boy 🥷 :
Unajua hio kind of life ndio nadhan inasababisha sana misongo ya mawazo na kuishia kujidunga Africa ni bara tumejaaliwa san furaha na tunavibe sana ishu ni life taiti tu ila africa ni sehem nzur sana
2026-10-22 10:45:01
0
mosesmateru4
Moses materu.. pastor to be :
Mimi sintaeeza kuishi ulaya kwa kweli
2026-10-14 04:23:30
1
precious.jeremiah11
Precious Jeremiah :
Napenda kuishi mazingira hayo sema hapo ni msimu wao wa popcorn na TV na wauza chakula wanafaidika mambo na oda
2026-10-12 21:20:27
1
zuriluxe_homedecor
Zuriluxe_homedecor :
Mimi nilivyo sipendi kusalimia watu huko kunanifaa kabisa.
2026-10-17 06:28:53
2
kim369276
Kim :
Hii ndio napenda mimi
2026-10-13 14:44:28
1
husseiabb
Hassan :
Usinambie... kipind cha winter hapa yaan unakuwa kama unaish mwenyewe. Watu hujifungia ndan yaan wewe acha tuu. Mara ya kwanza nilifikiri kuna tatizo kumbe ni kawaida
2026-10-14 21:42:17
2
bshshshshhwhwh
abdallah :
cc wengn 2kiwa bongo ni kurud job ndan tu hamna habar na mtu wala jiran 2kija huko angalau 2tapaweza kumbe,bongo ni kujuana sana mwisho kunafikiana na umbea
2026-10-14 10:36:40
1
eli.fred1
Elifred --GAIRO :
tunaopenda heka heka hatuwezi kabisa 😁😁
2026-10-13 08:59:15
1
franktango86
Matero🇹🇿🇰🇪🇳🇴 :
sasa kwanini uhisi ? na kwann usalimie Yan kwann yani
2026-10-16 12:08:41
0
iam_trica
iam_trica🇹🇿🇧🇭🇲🇾🇨🇦🇰🇷 :
kazi tunayo
2026-10-30 06:39:33
0
fridadavid846
Ayesha 🌺 :
duh... ila kama nataka vibe c natengeneza nikiwa ndani!!!
2026-10-14 03:02:16
0
3113tech
Duda3113 :
mwanangu mbona hamna watu
2026-10-21 07:06:58
0
_nyxara4
Nyxara👸🇹🇿🇬🇧 :
Baridi🥹🥹🥹🥹
2026-10-21 14:25:15
0
mpangalaally
ALLY SAIDI MPANGALA :
So in Europe wote ni introverts?
2026-10-19 19:32:34
0
jordandickson07
Jordan the boy :
mm siwezi kabisa
2026-10-13 04:54:40
0
To see more videos from user @ypmswahili, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About