kakodi holi bei ya kawaida tu mwenyew hajataka makubwa lkn pesa nyingi kaekeza kwenye dhifa za kuondoka na waalikwaa wake 🥰👌lkn watu wengine utaenda maholi dec za maana na maholi ya bei full ac unaishia kuondoka na kifuko cha kuku robo 😂💔 nachoka mie
2026-10-13 06:11:04
7
cute thumsee :
mnialike harusi hizi jmn😂😂😂
2026-10-13 13:24:16
1
khamally :
bei gn kadiiiiii pambyeeeee💃💃💃💃
2026-10-13 09:01:27
1
Tuma :
lkn wangine tunapewa mabovu mm naona uchungu nimepewa mashine ya kusaqia kadi40 wallah naiwasha yalia kma Honda na moshi kutowa
2026-10-13 08:41:58
3
Tina :
lakini sihaba wengine watoa hiyo elfu hamsini ukifika ukumbini chamaana hakuna wakuta chakula cha ovyo
2026-10-13 04:37:53
3
mom umu :
na sisi tualikeni
2026-10-15 17:12:31
1
2mamy12 :
nimetoka elf50 kadi nakuta buffee tena wali umeanza kuchacha🥺
2026-10-13 11:22:47
2
Mir@@_17 :
@🩶🥰🫶
2026-10-13 03:40:04
2
A_BALDE_03 :
😁😁😁
2026-10-13 10:39:35
1
To see more videos from user @moral309, please go to the Tikwm
homepage.