@pactz6:

PacTz
PacTz
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 12 October 2026 20:40:55 GMT
37726
1437
103
63

Music

Download

Comments

nikolaidemapanga2
niko mapangala :
achane hizo banaa na nimeoa juzii☺️🤣🤣
2026-10-13 10:35:26
26
bundaboy.mara.boy
bundaboy mara boy :
Na true ooo my broda
2026-10-13 12:33:51
0
jacqline791
Jacqline💖 :
Kama kweli iviii[Teary eyed][Teary eyed]
2026-10-13 13:31:17
0
musaadyh
MUS'AADYH 455 :
I think so but not really
2026-10-13 12:26:30
0
user2814618134957
mama@2000 :
saw saw
2026-10-13 11:15:36
0
kenge610
ISS :
halafu unatafuta hela za kuwalisha kuwasomesha mwisho wa siku wanakugeuka wote halafu unalazimishwa kuwaandikia mali zako (will) na jina lako halitakiwa kusomeka hapo kama beneficiary
2026-10-13 09:40:06
9
jellyroll4555
jellyroll4555 :
unahis kama ni content ila ndio maisha halisi
2026-10-13 11:43:50
9
kurthumakilimali
kurthum Akilimali :
hahahaha ua wotee
2026-10-13 11:30:37
0
remaxkawogo928
ree :
😂😂😂😂jmn npo kazn nimecheka mpka wenzng wakasema nimechizika
2026-10-13 12:06:43
2
mariamale72
mellah :
nabado hujasema
2026-10-13 12:34:40
1
gloria5696
gloria :
bado hujasema
2026-10-13 09:00:18
1
bab.doro
Bab Doro :
dalili mbaya sana uko mbeleni hi kampeni chafu sana inayoendelea
2026-10-13 09:03:41
3
user7874106562214
user7874106562214mwajuma :
hahahahahaa jamani 😁😁😁😁 mfanye kikao basi wanaume ote
2026-10-13 11:01:41
2
filbert.kimati
Filbert Kimati :
Bado hamjasema...Hebu tuoe wacheni uwoga vijana.wazee wetu wangewaza hivyo tusingekuwepo.Kazeni Buti vijana tuijaze Dunia.
2026-10-13 11:55:16
1
emmanuely.jumanne45
emma the done 🇹🇿 :
😁😁😁😁😁 duuuuh nemecheka kwel
2026-10-13 14:29:58
0
trezzly2025
Trezzly :
yeah
2026-10-13 14:28:07
0
tonyamsamalo
Tonya Msamalo :
dahaa sasa tufanyaje mkali
2026-10-13 14:25:02
0
user5758286538616
Gmpm :
Nashindwa kuelewaaaaaa
2026-10-13 14:05:21
0
madukamadukwa8
madukamadukwa8 :
wachache ndo watakuelewa mkuu wangu
2026-10-13 14:01:53
0
jackline2555
jack255 :
anazan Wana Sheria watakao kufungua😂😂💔
2026-10-13 13:54:58
0
sifa39355
sifa💞 :
ni kama anachekesha ila ndo ukweli😂😂
2026-10-13 14:21:56
0
user49745829636282
Monica💋💋🦋🦋 :
🤣🤣🤣🤣,sa mbona mi mwanamke ila na mshikaji wangu anatafuna pesa zangu
2026-10-13 14:04:49
0
mimah.qute3
Mimah Qute ❤️🍯🦋🦋👏❣️ :
😂😂😂ila nimecheka hahhaha
2026-10-13 14:07:59
0
user862308697
Hezron Aidan :
lengo la kuzaa ni ili uje usaidiwe badae au ukiishiwa nguvu lakn ukisema uache kuoa na ukabaki na pesa zako pesa zako zinaweza kukusaidia kwenye matatzo
2026-10-13 14:28:11
0
okoche.jk
Okoche Jk :
dah walahi naishiwa pawa
2026-10-13 14:22:16
0
To see more videos from user @pactz6, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About