@kaisikiactress73: Mwanaume anajali isia zake tu sio za Wanawake ila wanaume 🤣🤣🤣🙌🙌 #kenyantiktok🇰🇪 #kenya #trending #usa_tiktok #trendingvideo

#KAISIKI
#KAISIKI
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 13 October 2026 03:57:49 GMT
121755
5365
256
978

Music

Download

Comments

laylah_waakuwa
Rima😍🔊 :
hisia zimekua kubwa kuliko umri wangu😂😂😂😂😂😂😂
2026-10-13 06:29:49
86
diana190935
Deembogo❤️ :
et hisia zimenifika pabaya[Laughing][Laughing][Laughing][Laughing][Laughing][Laughing]
2026-10-13 06:09:00
14
teddyngogo353
Anti :
yaani mimi kabisaaaa 😂😂😂😂 mimi siweziiii
2026-10-13 13:21:29
8
cutemelanin4
CuteMelanin :
😂😂😂kubaniwa cwezi kweny nchi yangu
2026-10-13 06:45:59
21
hasna.bruce
Mrs me and you (Dede) :
mimi nami nikiolewa mke mwenza natafuta mwanaume mwengine akienda kwa mke mwenza mimi pia naenda bwana mwenza🤣🤣
2026-10-14 18:43:23
2
lizzy.9884
lizzy 98 :
🤣🤣🤣🤣🤣hisiaa zimekuwa kubwa kuliko umri wangu🤣🤣🤣
2026-10-13 09:34:43
17
shuu.sameer8
shuu sameer :
🤣🤣 hisia zmekuw kubwa kuliko umri wang
2026-10-13 06:13:13
20
ratipha.dilunga
Mwana🎀 Dilunga :
Asa mtu akiwa na hisia asiseme😂😂😂
2026-10-13 06:17:22
5
niyoyokwirwa
Emma😍😘😘😘😘 :
ikifika kwa uke wenza nafurahi hatari we msichana utaniuwa nakicheko🤣🤣🤣🤣
2026-10-13 05:37:20
20
unnacollection
The real husna collection :
Mume atachelewa jahazi nyie muacheni 😂😅
2026-10-13 08:13:38
12
bintigambere
binti :
Kaongeze watatu .ushauri tu😂
2026-10-14 15:08:38
2
catherinaalfredy
Catherina Alfredy :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Ila kaisiki
2026-10-13 05:01:45
10
mariamshitindi
♏AROY 8 MALIMIX 🦂🖤 :
😂😂ngoj Leo nisicoment chochote kwenye bando angu
2026-10-13 10:28:45
6
suleimanally837
MAGETI :
serikali ije inisaidie
2026-10-13 06:12:32
7
angerahy1
mom ally 🧸💖🌹💗 :
vyakubaniwa sipendi kwenye nchi yangu😂😂😂
2026-10-13 11:28:19
5
phine80732
Gee🍇♓️ :
😂😂mnaongelea hisia gani wenetu
2026-10-15 17:44:41
1
nargitamohammed
nargita mohammed :
ukewenza😞
2026-10-14 10:45:28
1
vene3457
💝VANE ❤️ :
😂😂😍😂😂jamani joto kuzidi umri tena hahaha
2026-10-13 08:52:01
3
annastazia.selest3
Ms-Anah🥀 :
Hisia zime ni shika😂
2026-10-13 06:44:37
0
mamuhwajuma
Mrs Juma💍❤😘🥰 :
Hisia zimenishika jmn😂😂
2026-10-13 04:09:57
4
mama.wa.mwanangu2
mama wa mwanangu🥰🥰 :
😂😂😂😂😂Kumekucha
2026-10-13 04:46:53
2
queenoftheroad06
queenoftheroad06🇨🇦🇹🇿 :
Hisia zimemfanyaje 😂😂
2026-10-13 06:34:07
2
user6286106163368
milartho :
Mimi uke wenzako siwez
2026-10-13 19:16:04
1
user6954399566168
warda yusuph :
jaman mueleweni 😂😂😂😂
2026-10-13 04:50:08
2
user3586196729480
Binti ng'olani :
😂😂😂uke wenza kweli Raha
2026-10-13 09:24:56
1
To see more videos from user @kaisikiactress73, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About