nilkua nimeandaa tusi mashallah kumbe familia kula maisha
2026-10-13 05:26:39
66
AJ 🐦🔥 :
devile 🔥🔥
2026-10-13 07:23:11
0
Rafael 50 :
jamani huyu dada sanam lake tulijenge post maeneo gani
2026-10-13 05:15:05
13
𝙼𝚊𝚗 𝚕𝚒𝚔𝚎 𝙷𝚎𝚗𝚛𝚢 :
🙌wachaga
2026-10-13 06:44:32
7
Rachel :
exactly
2026-10-13 04:05:00
2
Montana_sportsweartz :
Hatuwezi kuishi kila mtu na tabia aliyozoea ..Mimi nshazoea kuondoka ijumaa narudi jumatatu ,katikati ya wiki naweza toka saa nne narudi alfajiri .huo utakuwa ni ustaarabu mzuri ..mkikutana wawili watu wazima kunatabia lazima uziache kwaajili ya kubalance heshima ya mwenzio kama unaona kuambiwa uvae kistaarabu ni kupangiwa basi baki kwako uendelee kuwa huru
2026-10-13 06:42:20
5
Daniel Nangonga :
Neno la MUNGU liko wazi tatizo watu wanataka kuishi kivyao vyao.