@fundi_umeme_majumbani: 🔌 MR ELECTRICAL SERVICES Wataalamu Wako wa Uhakika katika Mifumo ya Umeme 🛠 HUDUMA ZETU / OUR SERVICES 1. Circuit Planning (Mchanganuo wa Mfumo) Upangaji na maandalizi ya awali ya mfumo wa umeme kabla ya hatua ya plasta. 2. Wiring Installation (Ufungaji wa Waya) Uvutaji wa waya kwenye jengo na maandalizi ya kuingiza umeme kutoka TANESCO. 3. Fittings & Decorative Lighting (Ufungaji wa Vifaa na Taa) Ufungaji wa soketi, swichi, na taa za kisasa za urembo (decoration). 📌 VIPAUMBELE VYETU Ushauri na Survey: Tunafanya ukaguzi wa eneo la kazi (Site Visit) na kutoa ushauri wa kitaalamu kabla ya kuanza mradi. Sikiliza Mteja: Tunazingatia mahitaji na maoni ya mteja ili kutoa matokeo yenye ubora wa hali ya juu. Upatikanaji: Tunatoa huduma kwa maeneo yote ya Tanzania.u 📞 MAWASILIANO Kwa huduma bora na za kiofisi, wasiliana nasi kupitia: Simu & WhatsApp: 0792295846 @mr_electrical_services_ 🔌 #ujenziwanyumbaboratz #finishngesing

mr electrical_services
mr electrical_services
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 13 October 2026 04:04:44 GMT
3124
142
1
1

Music

Download

Comments

f758303284
Faraji Electrical works :
🔥🔥🔥
2026-10-13 04:48:44
0
To see more videos from user @fundi_umeme_majumbani, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About