mungu nipa maisha marefu mimi na mume wangu niwaleye watoto Wangu
2026-10-13 10:46:52
45
happyness :
mmmmmmmmh
2026-11-02 06:54:12
0
Shakira A. Banobi :
Mungu naomba unilinde nmulee mwanangu nisimuache jmn Kama ss tulivoachwa tukiwa hatuelew chochote jmn
2026-10-13 10:18:24
27
Fabrice Vagheni :
Mwendelezo
2026-10-31 22:45:31
0
jogina jj :
Huwa naumia sana
2026-10-14 05:18:07
1
Bivian Omwoyo :
nextpart
2026-10-13 11:10:00
1
Suma Mwakitalima :
mwenderezi
2026-10-13 10:23:36
1
samiah :
Mimi Sasa hivi sitak kuwazalau watoto wa mtaani maan atujui chanzo chake uwenda wamepitia magnum na manyanyaso ad kuombaomba mtaan tuwasaidie tukiw na uwezo
2026-10-14 08:21:05
3
Doreen Henry :
nitag eps ya pili๐
2026-10-14 06:12:24
2
Kidoti๐ :
simulizi ina mafunzo sana ila kwann awe mpanzu
2026-10-15 07:53:12
0
zawadi Adamu :
mungu tusaide na utue maisha malefu tuangalie watoto wetau
2026-10-17 11:42:52
1
Abdulkarim :
inasikitisha daa
2026-10-17 08:56:22
1
Claudine Banza :
naipenda sana
2026-10-13 10:03:24
1
asmaqutty :
Ya Rabbi naomba utupe umri tuwez kuwalea watoto wetu mpka pale watakapojitambua
2026-10-16 07:14:36
1
marthakyussa :
๐ญ๐ญDah ww mungu we wajua
2026-10-17 12:19:34
1
Nadia abdallah :
mwenyezimungu nakuomba unilindie nisiwaache watoto wangu bado niwadogo๐ญ
2026-10-14 08:22:16
1
GLADYS VASIMA GL :
suite
2026-10-13 09:41:13
1
ally trending shoes ๐ :
Tupe next sasa
2026-10-13 19:58:43
1
Ruth Mwangi :
next
2026-10-13 09:39:40
2
lyanga Naomi :
dah Mungu atujalie kulea watoto wetu
na pia kujali yatima bila dhuluma
2026-10-13 14:41:36
2
Onnete Chamunane :
mungu wangu naomba maisha marefu nichunge wanangu
2026-10-14 04:27:18
2
eicki baraka erikana :
naomba mwenderezo
2026-10-13 10:51:55
1
comment section ๐๐๐ป :
Japo me maskin ila mungu nilinde nipambanie watoto wangu mpk wajiweze kujisimamia๐ฅบ๐คฒ
2026-10-13 14:34:01
1
To see more videos from user @swahilistorieshub_tz, please go to the Tikwm
homepage.