Mshahara wangu ni wa kwangu namshkuru Mungu kwa ilo maana nisingeweza 😂😂😂
2026-10-13 05:48:45
14
𝓬𝓱𝓲𝓬𝓪 𝓼𝓾𝓪𝓿𝓮🥰🌸💞 :
Kumbe mm ni wakishua😂😂
2026-10-13 06:10:18
9
Leylat seif :
Huyo mwenzangu na mie Ndo mimi hapa😂😂😂
2026-10-13 07:18:05
4
Code Tanzania 🇹🇿 :
Sijawahi kujuta kukufollow
2026-10-13 05:39:27
6
daiyyat :
Bora ata umenitia moyo mm mtt wa mkulima
2026-10-13 05:58:52
7
THE CHOOSEN ONE SHAIDU MZAKIRU :
inauma nyie jamani ,
2026-10-13 08:10:50
2
WEYKISMART CREATIVITY HUB🌸🫶 :
This coach 🫂♥️nampenda sana
2026-10-13 05:28:52
4
Hassan Rajabu Hassan :
Alhamdulillah wangu ni wangu only a small portion tena hiari yangu kutuma,ndio maana hata wachawi wangu wanachanganyikiwa maana naendelea kuliko wenye mshahara mkubwa 😅😅😅
2026-10-13 07:44:05
3
flav pesa :
ni kwel kabisa jmn
2026-10-13 05:51:12
3
COFFEE GIRL ☕️ :
2026-10-13 12:07:53
0
Kp.ink 😃 :
2026-10-13 11:11:37
1
shurah :
Ninashoga angu mwaka mmoja tyuu kajenga alooh tumemaliza 2022 mwaka jana kanunua gari la ndoto ake😂😂😂nyie we ressemble but differ🙌🙌🙌
2026-10-13 07:29:07
1
My Life Still My Life :
2026-10-13 10:00:32
1
Asmo De Boe🌹❤️🔥 :
fact🔥🙌
2026-10-13 09:47:49
0
Cici's Curtains & Interiors :
bimkubwa na mzee nawapa big up, mimi kama first born naweza hata kupumua kidogo🙌🙌🙌
2026-10-13 13:16:49
0
Ilham faresh :
Usipotoa utalaaniwa!!!!!!!!
2026-10-13 06:58:33
1
calvin_kyo :
Hata Kama Coach, Mpaka Mbegu kweli jamani, haya kazi ya Baba hapo nyumbani ni ipi kila mtu anambegu zake jamani, wazazi mtupumzishe Mungu alitupa bure wamaume wote hapa Duniani, haya maswala ya kutuma pesa kwa ajili ya Mbegu, sometimes Gen Z tujuzime Data🙌😄