@dskileo: Nakuwa muwazi na niko hapa kuwaonyesha kuwa inawezekana, inawezekana hujawa serious tu, ila Social media can change your life. Pia usisahau, HAKUNA KITU KINAFANIKIWA BILA MUNGU, Yeye ndiye muweza wa yote 🙏🏼 #JESUSISKING

brandingdanny
brandingdanny
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 13 October 2026 05:25:05 GMT
57945
2522
189
411

Music

Download

Comments

ivah202
Ivah store01 :
A ningependa tu kujua the process maana yooh.. it doesn’t seems easy to build all that🤔🙌🙌
2026-10-14 20:09:54
1
al.quran7476
Al Qur’an :
Babaa umemzid had Mo😀
2026-10-15 16:38:04
0
patty.ally0
Patty Ally :
hongera
2026-10-14 21:59:26
0
justbadrah22
chichi :
Hello Billionaire 🤝
2026-10-15 00:30:57
0
jay_mkali
NaX :
Ivi kumbe no. 06 ni serious issue 😳@
2026-10-14 21:03:58
0
happinesaman
happinesaman :
me nifundishe ya online international
2026-10-13 06:38:11
3
contawar3
contawar :
siyo kwamba watu hawana nia ya kufanya hv sometimes mtaji mtu ana idea ila hana mtaji wa kumpush ili aweze kutimiza ndoto zake ila tunajifunza kwenu nyie kaka zetu ,kikubwa Mungu kwanza vingine vitakuja tu kwa wakati sahihi .......hichi ndo ninacho amini💪
2026-10-13 06:19:53
22
chiyu.cosmetics
Chiyu cosmetics :
Na hauchanganyikiwi🙌🏽🙌🏽
2026-10-13 07:55:49
13
kingbling43
kingbling :
Naomba kuuliza biashara ya cow fattening unaeza anza na mtaji wa shingap
2026-10-13 11:01:40
9
popigagia
popigagia :
mm nahitaji kujua wapi wauza na kununua madini
2026-10-13 20:04:07
2
mercymyname
Mom L&R✨🎀 :
Brandllllllllly why lord I connect with this man give me more lord my two kids depend on me and now am stuck plz show me the way lord I depend on you
2026-10-14 11:52:03
3
umarngao
@U'umar :
mwisho ngumu kumeza ila nimepokea one love
2026-10-14 16:52:41
1
timanyikajr
timanyikajr :
keep pushing bro. Such an inspiring facts💪
2026-10-14 08:39:33
1
pecykg25
peace kigo 😊😍 :
👏👏,we learn
2026-10-13 06:33:29
0
gmollel1
glory :
Mimi nifundishe ya samaki jamani
2026-10-13 07:04:59
1
chaturizuu1
chaturi :
hongera mwanetu
2026-10-13 06:30:10
0
g.accessories2
G.accessories :
Tajiri
2026-10-13 05:46:46
1
being_mas
Ms masleina🦋🤍 :
mm mtumishi wa umma nisaidie buku mbili😂😂😂
2026-10-13 18:12:34
1
simply_chichi5
simply_chichi5 :
Mi nakuomba na nahitaji hiyo ya madini nipate elimu hapo niwekeze kwenye vifaa mfano yani ninunue karasha niwe nakodisha au vifaa vinavyohusika na madini hivyo tu.
2026-10-13 10:18:08
1
mr_kindness7
Mr Transaction💸💸💸 :
💪
2026-10-13 05:35:00
0
boe_kiddy05
𝐓𝐑𝐀𝐕𝐈𝐒_𝐊𝐈𝐃𝐃𝐘🇺🇸🦅 :
TRA is calling 😂😂
2026-10-13 05:49:50
4
bobrigo94
BOBRIGO94 :
Jesus is king 🤴
2026-10-13 07:50:56
0
jacklineeeeeeeeee
jacklineeeeeeeeee :
Mungu anibariki MAARIFA na hekima ya kutumia uwezo huo nimesoma tu hapa naumwa kichwa
2026-10-13 14:58:45
3
capy_bara7634
CAPY_BRAVE :
the only table that awaits for me broo hii post usiifute ntakuwa narudi kujikumbusha
2026-10-13 18:41:33
2
user2043915026123
$kin b0y :
Ebooks ndo ipo vp
2026-10-13 16:51:48
0
To see more videos from user @dskileo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About