@afrosate: ALICHOANDIKA HAJI MANARA: Hizi Yanga ilisingiziwa hata kama kulikuwa na ushahidi wa CCTV Camera. Walau hao waliotusingizia walikuja na kaushahidi feki cha asilimia kumi tu. Sasa nyie Vuvuzela zetu mnaosema Simba walitumia Sindano kama hizo kujibust ili washinde leteni video hata kama hii ya uongo uongo tuwaamini!! Vinginevyo mnatumika kuzuga maumivu ya juzi ili mlinde ubwabwa wenu 🤪🤪🤪 Nb:: Baadae Ntaongea na Hadhara ya Watanzania na kumwaga mboga nasubiri waguse bakuli langu tu,nifumue mishono yote! Nb2: Nimezaliwa zama za Vita vya Nduli Iddi Amin,So napenda hii michezo ya Vita ni Ubwabwa kwangu 🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪 Pyeeeeeeeeeeeeeeee naitwa Bugati Mwana Kariakoo 🦾🦾🦾🦾 Maoni yako? #afrosate #yangasc #simbasc

afrosate Media
afrosate Media
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 13 October 2026 06:01:42 GMT
37568
882
33
81

Music

Download

Comments

user7676333435818
𝓛𝓾𝓷𝓪♡ :
[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved] watu wanateseka jaman
2026-10-13 08:56:53
1
huruma.mduda
HURUMA MDUDA :
maji ya gsm ayoo
2026-10-13 06:56:52
2
mwaissa.vidic
@mwaissa15 :
hao ni yanga walipocheza na azam
2026-10-13 09:31:52
1
mwana.mussa
Mwana Mussa :
jmn kwa hya yote ni ya nn jmn mpira unafikishwa hukuuu
2026-10-13 09:24:23
1
7dady_mufasa
7_DA_DY👽 MU_FA_SA :
mbna maji ya gsm tena
2026-10-13 11:41:00
0
agnessnkugwe
Agness Nkugwe :
uko sahihi
2026-10-13 09:31:11
0
user11580565270762
user1158056527076 :
Kesi imewageukia yanga 🤣🤣🤣🤣
2026-10-13 11:05:00
0
user8175937346112
marytz@marie :
jamanii hayo si maji ya gsm
2026-10-13 11:12:31
0
backarimeja
Backari Meja :
hapo niazam yangahiyo mambo kwaushahidi
2026-10-13 06:28:59
0
user3744811786817
elyboy :
mbona maj sio ya mo n ya gsm??
2026-10-13 08:49:48
0
mr.fixer.godfather
Mr fixer @godfather :
Simba na maji ya GSM wapi na wapi
2026-10-13 08:38:02
0
ismailysaidy816
OBA FEM👊🫵 :
hii ilkuwa ya yanga na azam
2026-10-13 06:05:21
0
ndiaofficial8
Ndia eD :
hii clip naiya muda san nahii clip ndio ilifqnyq timu fulan kukimbia uwanja wa azam
2026-10-13 07:55:37
0
mtipulaiddy
mtipulaiddy :
upo sahii manara. wew timamu najua uwezi kuendana na watu Amnazo
2026-10-13 08:56:19
0
9367mka
Mkal ☘️-Duke☘️-🧸 :
yanga izo chup t mnajialibia wenyewe
2026-10-13 08:39:12
0
athuman.ramadhan54
young man :
kwn kuna ubaya mm kumlia mkongo dem wangu
2026-10-13 07:16:19
1
j.mtambo7
Junior 🌹 decorate :
Unakichaa wewe Mtu afanye tukio laivo alfu aache ushaisi hazalani ivo na anajua kuna kufanya. Usafi
2026-10-13 07:50:48
1
denisnyachiadizzo
Black Dizzo :
Tunayakumbuka yakwenu haya mliyaacha azam complex yan msim huu mtakubali tu had tukutane tena
2026-10-13 09:52:23
0
vailethls
@Vaileth_Ls :
mbona hapo juu imeandikwa yanga nyie mzmu maneno kwenye drisha apo muone😂😂😂😂😂
2026-10-13 09:21:21
0
hadijahaji05
hadijahaji411 :
😁😁😁 haji manara kamwaga mboga mmm kumechangamka
2026-10-13 10:24:13
0
mukhsin.hassan7
Mukhsin Hassan :
na huo mpira mlio chzewa unasababishwa na sindano
2026-10-13 09:06:31
0
fizzlejr
fazoo :
kwenye swala la wenye akili yanga manara nae aongezeke wafike watatu
2026-10-13 09:11:19
0
youngolise1
scan,man :
yan nyie apo si hospital
2026-10-13 08:54:52
0
josephclavery856
Joseph Clavery :
CCTV ZIONYESHEEE WAKATI WAKIJIDUNGAAAA ...BILA HIVOOOO SIMBAA ITAKUWA NI KWELI WALIJIBUST...Maana kwa hiyo vdeo mtu yoyote mwenye lake kichwani anaweza akakusanya mabomba ya sindano ili azibeee au simba asiongeleweee
2026-10-13 11:09:33
0
shuu.food
shuu food :
nani yupo kalibu abetue hilo bakuli tupate madin kwa bugat ally bado mdg hawez michezo ya bugat atadhalilisha wengi
2026-10-13 06:32:53
0
To see more videos from user @afrosate, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About