@Dipen [email protected]:@Dipen [email protected]:@Dipen [email protected]:@Zayrah❤:Ndugu zangu hii nchi hatujawah kupumzik tangu October 29🤣🤣🤣mara Wema kajifungua, punde si punde Zuchu na baby shower hatujakaa Sawa miaka30 ya Bongo flavour na tunaanza kukaa Sawa Dotto Magari kaathirika,Dotto analet vipimo kutoka Zanzibar, mara Kuna mtu katoka kigoma na baiskeri mpaka kawe kwa mwamposa, mara police wamechukua simu ya pipytida mara Nchimbi anatupanga tudai katiba kabla hatujakubali Wema kawa single mother tunaanza kutaharuki Baba Nchimbi kajiuzulu haya tunaamka asubuhi kumbe CCM walimfukuza huyu Mzee sasa ndio nataka kutulia nakuta mwamposa kaangusha mchawi huko Arusha alikua anatoka bariad kwenda mbeya daaa hii kasheshe nayo,mara kuna wizi wa nyeti hata sijahema vzur anko t kaanza kwenda gym sijakaa vzur kuna free juma jux🤣🤣🤣 cjakunywa ata chai mauwa sama ni mjamzito😂 mara pipi tida kaanzisha live yake kutoa duku duku😂 hatujaa kaa sawa kuna kutema cheche yani ili mradi na ss ndo kama hivyo tunaongozwa na m..ja....ne mwaya tutafanyaje sasa🥺😂😂😂😂😂
2026-10-13 08:29:09
1
user3657579376061 :
mtakayote kwapupa 🤣🤣🤣
2026-10-15 13:44:21
0
Bundala wilisoni Matondo :
hii inaitwa mfa maji hutapatapa
2026-10-15 06:40:58
0
Mr Ad :
Kama unasikia Samaki kanasa kwny Chambo ndo hii sas😃😃😃
2026-10-14 11:24:11
0
Aidara Belem :
❤️❤️❤️
2026-10-13 08:18:18
1
user9923122796792 :
😁😁
2026-10-13 08:48:52
1
Ebenezer Kabelela :
😂😂😂
2026-10-14 20:03:48
0
Ng'wanaholo :
😂😂😂
2026-10-13 18:02:18
0
Imelda Deodatus :
🤣🤣
2026-10-13 19:16:43
0
Hussein :
🤣🤣🤣🤣
2026-10-14 09:27:01
0
Sabin Jr💯 :
😅😅😅
2026-10-14 09:49:31
0
kaliji boy :
🤣🤣🤣
2026-10-15 08:09:46
0
Omary aron mp :
😁😁😁
2026-10-13 17:29:32
0
Momy Nilan🥰❤️ :
🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-13 07:56:48
0
To see more videos from user @mniga.og4, please go to the Tikwm
homepage.