@officialsaidmbegu: "MAKAMPUNI YA ZAMANI HAYANIHUSU MIMI" Jacqueline Mengi

MBEGU
MBEGU
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 13 October 2026 06:09:38 GMT
134190
7561
105
121

Music

Download

Comments

joseph.ndongo15
Joe chazz :
huyu Dada huwa anaongea kwa hekma anasifa za kuwa mke
2026-10-13 08:16:35
215
dede88_rip
dede RIP001🤑 :
Kafanana na Neslihan wa Murat
2026-10-13 07:25:03
33
victoriamwanga415
victoriamwanga415 :
alizobaki nazo watt wakubwa Wana haki ya kuridhi pia
2026-10-13 09:08:15
28
user2435391599768
user2435391599768 :
mmmhhh kwahiyo ulimpenda kweoi[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-13 08:16:56
2
user97209140858673
user97209140858673 :
kampuni za zamani ,watoto wako wamepewa,iweje kampuni mpya upewe ww na wanao,tuu na wale wengine walipaswa kupewa
2026-10-13 08:44:39
39
mumyg54
Mumy G :
Ngoja tukuache Jack maisha yana siri kubwa sana kipenzi all in all mali hatutazikwa nazo tuwe na kiasi katika kuipenda mali ili isitupeleke motoni
2026-10-13 07:52:15
27
byser443
byser :
She is beautiful she can stand alone
2026-10-13 09:45:50
9
ryleereeronny002
RyleeReeRonny :
sidhani kama kylin ana mu owe millard any explanation
2026-10-13 12:34:33
0
gee_luxecosmetics1
Gee_luxecosmetics :
Kosa alilofanya mzee mengi hadi kufikia kwenye mgogoro ni kitendo cha kuandika urithi wa mali zake kuzigawa kwa watoto wadogo tu alipaswa mali zake yeye baada yakuachana na mke wake mkubwa zigawanywe kwa watoto wote na mali alizochuma na jack zibaki kwa jack na watoto wake wadogo tu kwasababu kisheria watoto wote wanahaki kurithi kwa baba yao watoto wakubwa amepata share kwa yao Kwanini kwa baba wasipate hii itamletea shida jack na watoto wake kwasababu wale watoto ni wadogo sana mzee alimpenda sana jack ila alikosea kamuachia shida jack kwa wachaga tena wamachame hii kesi ni ngumu sana
2026-10-13 10:03:11
9
martharamadhan80
martharamadhan80 :
aiseee pole
2026-10-13 08:16:47
5
said.rashid2
Said Rashid :
Back to 80's namkumbuka sana Mzee Mengi akimletea chakula shule pale Muhimbili primary mwanae Abdiel .Mengi
2026-10-13 08:24:19
12
bensontemu609
Benson Temu :
kampuni mpya haziwahusu hao watoto wakubwa? walipata mgao?
2026-10-13 11:10:29
6
tynest56
fine as wine :
Dada usijichanganye bwana umetengeneza urithi
2026-10-13 08:06:33
12
betinahmgimba
B&G💞💞🦋 :
dada una bahati done🥰
2026-10-13 10:29:49
2
fmashauri
Masha :
Likelihood ya mtu mzima kufa kwanza ni kubwa sana that’s no brainer
2026-10-13 08:08:40
5
fredrickmndolwa
Fredrick Mndolwa :
hapo kwenye kumpenda hapo
2026-10-13 08:27:44
7
papy.blocks
P@py Blocks :
Kwenye maisha nimejifunza kuwa chochote ambacho mtu atakifanya ndio kitu sahihi kwake.so no judgement in someone's decision
2026-10-13 10:35:47
5
nayaanbusaayyid
露露 :
anatetemeka[Teary eyed]
2026-10-13 08:32:34
3
sashersashersasher
Nat 🌸🇹🇿🇩🇪 :
Me ndo maana sitak kuolewa na mwanaume alikuwahi kuoa na akaacha watot na Mungu aniepushe mbal na hayo mahusiano yaan sitak kabisa
2026-10-13 09:03:12
18
frankkissnga0
frank kisanga :
damn!
2026-10-13 08:10:33
6
graciousdeograty
Coletha Mwambigiri. :
hapo nakuelewa huwezi kumuliza mume ukifa mali inakuaje
2026-10-13 09:12:29
7
raymond.nicodemus
Raymond Nicodemus :
upo sahihi sana mama
2026-10-13 08:57:25
4
tumaini.manyanga
tumaini manyanga :
Mme wangu au babu yangu
2026-10-13 10:17:01
3
nyamandemanyama8
nyamandemanyama8 :
huyu dada mpole no scandal
2026-10-13 10:57:59
2
tugume6649
Tugume🇹🇿🙏 :
Asante kwa kusema Kuzungumzia mali na mtu yuko hai ni uchizi ,kuna kabira la vibaka hawakuelewi
2026-10-13 10:42:50
4
To see more videos from user @officialsaidmbegu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About