@nuni_the_empress_: Ustaarabu kitu cha bure jamani! 😂 Ukimaliza kutumia kifaa, kirudishe kinapokaa. Sisi wageni wa gym mnatupa tabu jamani Tumekuja kujenga misuli, si kucheza kombolela na dumbbells. Rudisha kifaa mwenzangu! 🤣🏋🏽‍♀️

nuni The empress
nuni The empress
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 13 October 2026 06:12:45 GMT
4282
445
67
10

Music

Download

Comments

nabeelstylish01
NabeelStylish :
pole dada
2026-10-18 11:52:50
0
pamojaeddz_trainer
Pamojaeddz :
umenena 🙏
2026-10-17 17:44:01
0
tantinalee1
Kwamba255 :
Hizo Dumb- bell za 5kg tunampango wa KUZIFICHA 😂😂😂
2026-10-14 05:55:58
3
christophebdi
Christophe :
wambie sn
2026-10-17 08:35:36
0
5madamcash
Salymwa :
Karibu perfect gym Arusha hutajutia. wako classic sana. Hizo kero utazisahauI love the place.
2026-10-14 07:17:25
0
lupalilo8
Mathew :
Wanakera vibaya mno
2026-10-13 07:47:34
1
jamalimemba
JAY_THE_FITNESS_ADDICTED :
😳😳😳😳😳 Kuwa Unafunguwa Live TikTok Huwa Napenda Kufuatilia Post Zako
2026-10-13 07:59:37
2
treiner_bboy
B_Trainer :
kunywa soda
2026-10-13 08:49:10
1
stayedbysue
Suzie67 :
Aliiificha kesho akija anajua ilipo we ndio umeharibu
2026-10-13 11:12:16
1
luvlisa773
Luvlisa🌸❤️ :
Mbn nasemwa😂😂
2026-10-13 20:41:49
1
mikelbiraly
MIKEL biraly :
tuna kuwa tume tchoka bwana 😁
2026-10-13 06:37:36
1
toto.yandam
chidy 🐆🐆🐆 :
hayo yamenikuta Leo nimekuta vyuma vimetapaka jym nzima
2026-10-13 10:19:59
1
scott_miroller
Scott☘️☘️ :
na ndo Dumbbell ambay inapoteaga gafla nusu saaa ndo unakuja kuiona😂😂😂😂😂😂😂
2026-10-14 09:16:43
1
peternghomango3
p.n.y tz,🇹🇿 :
jamn
2026-10-18 05:49:13
0
use.0833835476
de chine🇨🇩🇨🇳 :
polepole
2026-10-16 20:24:29
0
stevenfabian716
Steven Fabian716 :
True
2026-10-13 10:38:18
0
andy_mwafrika
Andy Mwafrika :
hiyo tabia inakera sana
2026-10-15 05:28:18
0
jamalimemba
JAY_THE_FITNESS_ADDICTED :
Umeongea Point 👉 Sana Alafu Pia Watu Wawe Wakwenda Gym Na Towel Ya Kujifuta Na Kufuta Machine Za Gym
2026-10-13 08:01:39
2
chris.24376
Chris +243🇨🇩🇨🇩 :
unaongeya kweli
2026-10-18 18:32:15
0
hammy.kenzo
Hammy kenzo :
Hii dumbbells ya kg 5 tuifanyie kikao huwa inapoteza huioni
2026-10-15 00:24:23
0
gregor19901113
Greg👽 :
Kabisa yaan aisee
2026-10-17 19:31:09
0
awadhikajembe59
Awadhi Kajembe :
we traina😁😁 utakosa wateja jm kwako
2026-10-18 12:55:22
0
user8425421695817
Richard Vitalis :
siwapendi wananikela
2026-10-13 08:57:46
1
joycegodfrey123
jojo strawberry ❤🤍 :
Sijawah kuludish kwakweli watanisamehee 😂
2026-10-15 21:08:40
0
daudiabdallahmalifedha
daudiabdallahmalifedha :
Kunywa soda
2026-10-13 13:22:01
0
To see more videos from user @nuni_the_empress_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About