@forwardhubmediatz: Mwanaume mmoja kutoka Florida aitwaye Shawn Kilums aitikisa mitandao ya kijamii baada ya kudaiwa kutumia dawa za kuwatuliza mamba katika eneo la Everglades, kisha kuwafanyia vitendo vya kingono. Habari hiyo ya kushangaza ilidai kuwa polisi walilazimika kumpiga kwa kifaa cha umeme cha kumdhibiti (Taser) mwanamume huyo mwenye umri wa miaka 57 baada ya kukataa kutii maagizo, huku akidaiwa kuwa chini ya ushawishi wa dawa ya kulevya aina ya crystal meth.
sasa ndo nimeelewa kwa nini bahati bukuku aliimba DUNIA HAINA HURUMA😅
2026-10-13 10:53:07
46
Shairani s Ally :
kwahiyo na hapo mnampa kesi Gani waungwana
2026-10-13 11:38:40
12
Duldady :
Heeeeeee??!!!
2026-10-13 12:12:39
0
frankly 09 :
duh had dudubaya
2026-10-13 15:07:45
1
Tiffany :
bora kulko angetubakia watoto
2026-10-13 16:33:11
3
🍁 dully 👑 :
apoutasikia tudada tunasema angeniomba ningempa
2026-10-13 09:19:46
6
BLACK MWANA :
daaaah dunia inameng san🤣🤣🤣
2026-10-13 09:22:05
4
Shufyna Alfan :
asa mtu asijisevie
2026-10-13 15:35:36
2
beauty :
jaman kwaiyo mwenzenu asibake mamba jaman dahaaa mbona watu atuna shukran angebaka mtu ingekuwa kesi kabaka zake mamba mnamfuatilia [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-13 12:17:14
2
kipwilu 🤗✊ :
daaaanh 😄😄😄ndo maana nilisema naomba niame hii nchii
2026-10-13 16:22:58
0
husna 378 :
huruma sio maleziiii
2026-10-13 14:03:15
1
Hafswa🔪🍴 cake🎂🍰 :
kwaiyo anatafutwa na serikali au😳😳😳
2026-10-13 15:15:41
1
babymama💕💕 :
Nimecheka hadi nmezimia🤣🤣🤣
2026-10-13 11:50:56
0
🍁TOTO LA MKOANI 🦋 :
...sijaona meng kumbe
2026-10-13 09:04:11
2
THE KING OF FOUL :
na bado
2026-10-13 09:35:37
1
ogg :
kwaiyo wameshamtoa malinda mzee wetu
2026-10-13 11:02:58
0
Mr. Pizo🇱🇷 :
wabongo mnaferi wap sas🤔
2026-10-13 19:00:35
0
kukky babe😘🥰 :
mmmh 😂😂😂
2026-10-13 18:58:14
0
it's v,one :
nachangayikiw
2026-10-13 18:21:49
0
To see more videos from user @forwardhubmediatz, please go to the Tikwm
homepage.