@thekaffeehaustz: From above to your table! check out this epic drone view of The kaffehaus & restaurant located at Rock city mall right by Furahisha Gate.Spot us from the sky and join us on the ground for unforgetable dining experience today 🍽 🚩Rock city mall, mwanza 0792975601
@Intyanyi:Mwanza ni usahilini pakubwa tu hakuna Jiji hapa, uswahili kila pahali.
Yani hakuna kata ambayo haina uswahilini, Kapripoint kuna sehemu ni uswahilini, Bwiru kuna sehemu ni uswahilini, Isamilo kuna sehemu ni uswahilini, Nyegezi the same, Nyamhongolo the same, Buswelu the same.
Na kwasasa tumewaacha wauza viwanja wanaonunua mashamba wanakata tuviwanja tudogo sana na mwisho wa siku tunakuwa na makazi holela yamebanana hovyo.
Mji hauna mipango miji inayoeleweka, Kila kata lazima kuna makazi holela na Kila kata lazima kuna maeneo hayajapimwa yamekaa shagarabagara
2026-10-27 10:26:40
0
🔥chunnie nilla🔥 :
wanamwanza tujuane
2026-10-17 19:03:05
1
Chriss D✌️ :
🥰🥰🥰
2026-10-13 14:47:35
0
To see more videos from user @thekaffeehaustz, please go to the Tikwm
homepage.